Uwanja WA NMC JIJINI ARUSHA WAFUNGWA RASMI CHADEMA YANGURUMA!

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Uwanja wa nmc jijin arusha umefungwa rasmi kwa kile kinachodaiwa ni kuizima chadema jijini arusha. KUfungwa kwa uwanja huo ni siku moja kabla ya rufaa ya mbunge lema na wakati ambapo chadema ilitarajia kufanya mkutano wake katika uwanja huo hii leo. TAARIFA ZAIDI BAADA YA UWANJA WA NMC KUFUNGWA NA KUANDALIWA KWA AJILI YA WAFANYABIASHA NDOGONDOGO MAARUFU KAMA MACHINGA, UONGOZI WA CDM MKOANI UMEWAOMBA RADHI WANACHAMA KWA KIPINDI HIKI HUKU CHAMA KIKIENDELEA KUTAFUTA ENEO LINGNE AMBALO LIPO ENEO LA KILOMBERO. OFISI KUU YA CHAMA ARUSHA.
 
Uwanja wa nmc jijin arusha umefungwa rasmi kwa kile kinachodaiwa ni kuizima chadema jijini arusha. KUfungwa kwa uwanja huo ni siku moja kabla ya rufaa ya mbunge lema na wakati ambapo chadema ilitarajia kufanya mkutano wake katika uwanja huo hii leo.

Akili ndogo...
 
magamba yameishiwa sera sasa yanatapatapa kuleta vurugu zisizokuwa na maana. Wanalooo mafisadi.
 
CCM kwa kupitia dola wamejipanga kweli kweli! Kazi kwa madiwani wa CDM kuibana halmashauri ya jiji kutoa sababu za msingi lakini pia CDM watafute mbinu mpya za kueneza elimu kwa wananchi bila kutegemea sana mikutano ya hadhara ambayo ni DHAHIRI kuna maelekezo ya kudhibiti kwa kutumia kila mbinu.
 
Uwanja wa nmc jijin arusha umefungwa rasmi kwa kile kinachodaiwa ni kuizima chadema jijini arusha. KUfungwa kwa uwanja huo ni siku moja kabla ya rufaa ya mbunge lema na wakati ambapo chadema ilitarajia kufanya mkutano wake katika uwanja huo hii leo.

Sababu ya kuufunga ni nini?????
 
Uwanja wa nmc jijin arusha umefungwa rasmi kwa kile kinachodaiwa ni kuizima chadema jijini arusha. KUfungwa kwa uwanja huo ni siku moja kabla ya rufaa ya mbunge lema na wakati ambapo chadema ilitarajia kufanya mkutano wake katika uwanja huo hii leo.
mkuu tupe sababu za msingi acha porojo kama ni kweli. sababu uliyotoa niya ki-childsh zaidi.
 
Uwanja wa nmc jijin arusha umefungwa rasmi kwa kile kinachodaiwa ni kuizima chadema jijini arusha. KUfungwa kwa uwanja huo ni siku moja kabla ya rufaa ya mbunge lema na wakati ambapo chadema ilitarajia kufanya mkutano wake katika uwanja huo hii leo.

Watafunga viwanja vingapi na maeneo yote ya wazi nji hii ili CDM izimike?! akili ndogo haiwezi kuizima akili kubwa, The dye is cast CDM will overcome; afterall "when the going gets tough; the tough get going"; CDM is tough and the battle is joined; aluta continua!!
 
Very interesting. Mbona limekuja ghafla. Sijasikia ikijadiliwa na madiwani. Am not sure, but I doubt political agenda behind the scene.

Kuna kipindi walitaka kuwafukuza wafanya biashara ndogo ndogo pale soko kuu lame akawaambia wasikubali kuondoka mpaka waonyeshwe pa kwenda hata baada ya ujenzi wa barabara kuanza Lema aliwaambia wafanyabiashara wasikubali kuondolewa kama kuku wa kizungu wawapeleke ama NMC au kuna uwanja ulioko karibu na Soko la kilombero ambao uliuzwa kwa mfanyabiashara mmoja kinyemera na Mussa Mkangaa kabla JK haja watimua lakini mpaka leo hai ileweki kama uwanja huo ulisha lejeshwa serikalini ama lah...sasa naona wameona la kuwapeleka uwanja wa NMC ni jepesi kuliko kwenye uwanja wenye migogoro...juzi walizungusha uzio kwenye barabra moja pale soko kuu hali iliyopelekea wafanya biashara kukosa sehemu ya kufanyia biashara huku manispaa ikiwataka waende NMC wafanya biashara walikataa wakitaka watengenezewe miundobinu kama vyoo.....
 
Back
Top Bottom