Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,655
- Thread starter
- #41
Mkutano umeshatangazwa kesho nmc tusubiri tuone hawa policcm wanawapeleka wap watanzania
MAFISADI wa CCM hawa bana; tehe tehe tehe ....!!!!!!!!!!!
Kwa mujibu wa taarifa za vikao vya halmashauri ya jiji la arusha. Uwanja wa nmc utafungwa hiv karibuni ili kuidhibiti chadema mkoani arusha kwa kutokupata eneo maalum la kufanya mikutano.
Sishangai mie. Maana CDM mnatukera! Na bado, tutawafungia hadi toilets.
gamba unatumia M.....lio kufikiri huna lolote