Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam wafunguliwa

N yangu ilishindwa kuruka pia....

private-jet-kids-camp-6-8-07.jpg
 
Kusema la ukweli Tanzania tutazidi kuwa nyuma miaka nenda miaka rudi..nimekuwa nikisikiliza vyombo vya habari this morning eti JWTZ
wanajitetea kuwa hayo mabomu yalipaswa kuwa discarded 20 years ago na yamelipuka kutokana na chumba cha kuhifadhiwa kukosa umeme kwa hiyo lile joto ndo limeactivate....jamani hiyo sababu hata mtoto wa kindergated hawezi amini..where are going jamani watanzania??kwanini tunazidi kurudishana nyuma tuuu..nikifikiria nchi yangu hasira zanipanda looh.

Ni sababu za kukwepa lawama my dia. Na kwa sababu hiyo tutegemee milipuko kibao kutoka ktk maghala mengine! Yalipuke ya Lugalo yatandike Mliman City, Chuo Kikuu. Yalipuke ya Makutupola yatandike Bunge na ikulu ya Chamwino, yalipuke ya Uwanja wa Ndege, yalipuke ya ngerengere . . .. . . . yaani yatalipuka kibao. Tuchukue tahadhali tu mama
 
Eee Mwenyezi Mungu tuepushie haya mabalaa!
 
hapo kioo kimecrack mkuu?....mara ya kwanza nilifikiri ni bati limepigwa na bomu ndio limedondokea hapo
 
Back
Top Bottom