lossoJR
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,711
- 2,382
kutokana na kuteuliwa kwa mkoa mpya wa songwe hivi karibuni huko mbeya..JE ina maana ule uwanja mpya uliopo songwe si mali ya mkoa wa mbeya tena bali utakua ni wa mkoa mpya wa songwe?..na kama jibu ni ndio je vipi kuhusu mkoa wa mbeya kua na uwanja wa ndege kwa maana ule wa awali tayari ulisitisha huduma kwa kuuisha huu mpya ambao kwa sasa inaonesha si wetu tena
#msaada tafadhali.
#msaada tafadhali.