uwanaharamu wa "wabeba box"

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
hivi karibuni nilihadithiwa kisa cha mbeba box mmoja alieenda ng'ambo hivi karibuni.mbeba box huyu wa kike ni graduate kutoka katika vyuo vyetu vya private na mara baada ya kumaliza masomo alisota kutafuta kazi lakini mwishoni aliitwa na mbeba box mzoefu aliyebobea huko ng'ambo.hawa wabeba box wawili ni ndugu wa damu lakini walilazimika kufunga 'ndoa' ili kumsaidia mbeba box wa kike kuweza kuingia huko majuu bila matatizo makubwa.
hivi kuna ulazima wowote wa graduate wa kitanzania kukimbilia nje kubeba box hata kama mbinu za kwenda au kuishi huko zinadhalilisha utu wake?
 
Back
Top Bottom