Uwakala m-pesa umesitishwa?

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
1,714
442
Nahitaji kuanza kufanya hiyo biashara ila kuna mtu kanipa story za juu juu kwamba voda wamesitisha kusajili mawakala wapya,mwenye taarifa zaidi naomba anijuze tafadhali
 
Ninavyojua mimi Vodacom imesitisha kuwasajili mawakala WAKUBWA.
Kumbuka kuna mawakala wakubwa na mawakala wadogo ambao ndio wengi.
waweza kujisajili kama wakala mdogo na mambo yakaenda vizuri tuu.
Afterall tusubiri wadau wengine kama wana la kusema tofauti na mimi.
 
okey thanx me nataka kuwa wakala mdogo,labda tusubirie wadau wengine pengine wanainfo tofauti Ndibalema
 
Last edited by a moderator:
Hata wakala wadogo wamesitisha, mi niliomba tangu january hadi leo hakuna kitu, hata tigopesa nao wamesitisha
 
mbona mimi nimepata best,niliomba mwezi uliopita jana nimepewa
 
mmh pananipa utata hapa,wengine mnasema wamesitisha wengine mnasema mmepata
 
Ninavyojua mimi Vodacom imesitisha kuwasajili mawakala WAKUBWA.
Kumbuka kuna mawakala wakubwa na mawakala wadogo ambao ndio wengi.
waweza kujisajili kama wakala mdogo na mambo yakaenda vizuri tuu.
Afterall tusubiri wadau wengine kama wana la kusema tofauti na mimi.

sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom