Uwajibikaji.

kajumula.

Member
Jun 29, 2012
34
0
Je kama taifa huru..lenye kulinda na kufuata utawala wa sheria . Je sheria zinasemaje juu ya uwajibikaji wa serikali na watu binafsi pale zinapo tokea hajali na watu kuumizwa na hatimaye kufa? Je ulipaji wa bima na mafao sitahiki vinatekelezwa? Je manusura wanaweza kuishtaki serikali? Naomba uchanganuzi na msaada wa kisheria..
 
Back
Top Bottom