Uvuvi kwa kutumia boti

CLEMENCY

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
211
117
Wakuu, ninataka kufanya biashara ya uvuvi baharini kwa kutumia boti. Nauliza mwenye ujuzi na hii biashara anijuze kuhusu aina za boti zinazotakiwa,ukubwa wa injini,kama petroli au dizeli ndiyo inafaa. Natanguliza shukurani zangu
 
Jiandae kwenda kwa waganga wa kienyeji kuongeza charge kama huna. Waulize wapemba
 
Wakuu, ninataka kufanya biashara ya uvuvi baharini kwa kutumia boti. Nauliza mwenye ujuzi na hii biashara anijuze kuhusu aina za boti zinazotakiwa,ukubwa wa injini,kama petroli au dizeli ndiyo inafaa. Natanguliza shukurani zangu

Ni biashara nzuri, inayolipa sana ukiwa na vifaa bora na wafanyakazi wazoefu.
 
Mkuu,una mtu unayemfahamu ukanipacontact yake?

Ni biashara ngumu sana ambayo inahitaji wewe mwenyewe uwe na uzoefu nayo otherwise uwe na mtu mwaminifu sana aisimamie. Unataka kuvua wapi? kama baharini je ni uvuvi wa maeneo ya pwani au mbali na bahari? na pia unataka kuvua uvuvi wa aina gani yaani samaki gani.. kuna uvuvi wa dagaa (utahitaji boti kubwa kidogo yenye injini ya ndani na nyavu za purse seine), uvuvi wa nguru na papa kwa kutumia mishipi au kwa kutumia nyavu za jarife n.k.

Kama nilivyosea sio tu kununua boti na injini bali pia kujua unaenda kuvua nini na wapi ndio itakusaidia kujua aina gani ya nyavu, boti na injini ya kufunga. Kama ni mgeni kabisa unahitaji watu wazoefu mno na waaminifu wakuelekeze vinginevyo unaweza ingizwa mjini.
 
Shukrani mkuu!
 
20170627_084902.jpg
Mimi niko huku Dar nahuza ma boti ya meter 8.9 za aina ya fiber kwa beyi hagifu sana
 
Hiyo fiberglass boat ni bei gani ya mita 8 na 9

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom