MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
thanks ma big sister. ila na wewe weka mchango wako hapa ili uwajenge wengine.
Mydia mie hakuna kitu ninachokithamini kama uvumilivu na tena ni kitu kilichonifanya nikaingia kwenye ndoa kwa confidence kuwa hakuna kitakachonishinda kwa kuwa nitavumilia. ILA Sikujua kama kuna extent tofauti ya uvumilivu. KAtika maisha ya ndoa mwanzoni kuna maudhi madogo madogo ambayo huwa yanapaswa kuvumilia lakini pia yapo zile turmors ambazo zikikuhet utatamani kukimbia ukipiga ukunga but hakuna lisilovumilika na hakuna mapito yasiyopita.
Ila inapofikia umvumiliaye akaamua kuabuse uvumilivu wako na kukuchukulia kuwa wewe ni wajibu wako kumvumilia na yeye asiwe tayari kukupunguzia mzigo wa kuvumilia hapo ndipo uvumilivu unakuwa hauvumiliki tena. Ndizo extremes anazozisemea Da King'asti hapo juu.