UVUMILIVU AFRICA: Is it a Compliment ?

Na bwana simba je wengine si ndio hawafiki kabisa huko wakimfikiria.

Kupambana na Simba ni routines. Wanyama hawana adaptation. ukiishi na binadamu wenzako na kupambana nao kila siku itabidi ubadili technics zako.

Sio unaona vita vya u-terrorist kila siku mbinu zinabadilika.
 
Unaona sasa ujinga wa mwafrika ulivyo? Wewe unasubiri hadi utambuliwe na mzungu? Kwani huwezi tu ukavumbua na kuuboresha huo uvumbuzi wako bila baraka za mzungu?
wamevumbua na vinaendelea kuboreshwa na wengine hila vyanzo ni wao mfano ukienda kununua fresh produce next time mshukuru brother fulani hivi (jina limenitoka hila uki google yupo list ni ndefu kuanza kupekua) for his invention today its very useful for ensuring fresh product reach supermarket whilst still fresh. Maana hata ao wazungu wameshakufa na wengine bado wanaboresha leo including africans kwani uoni waafrika sehemu zenye ma-professional.
 
Huyo 'brother' alivumbulia wapi huo uvumbuzi wake? Afrika au majuu?
 
Kupambana na Simba ni routines. Wanyama hawana adaptation. ukiishi na binadamu wenzako na kupambana nao kila siku itabidi ubadili technics zako.

Sio unaona vita vya u-terrorist kila siku mbinu zinabadilika.
precisely my point and this leads to our cowardness kwa sababu tumejijengea mistari ya kufikiri isiyo kuwa na tija kiasi kwamba tunaua sauti ya umoja na kuanza kujiangalia kimakundi. For the sake of peace tunaishia kuyaachia mambo mengi ya kipuuzi lakini nenda kwa wenzetu utakuta wana common shared perpective of who they are ndio maana zakumi akiingia kuomba kazi ya mshahara wa juu wa na kuna wazungu kumi wote ikiwa mna equal abilities you what will follow. Ndio nasema hata racist ideology ni kujijua its like 'us' and 'them'.

The 'us' and 'them' in africa is within ones boundaries una ona hatari hiyo, hivyo inabidi tujifunze ku-adapt hili tuishi kwa amani. Matokeo yake ndio tuna acha meeeengi yapite hivi hivi for the sake of social peace.
 
Huyo 'brother' alivumbulia wapi huo uvumbuzi wake? Afrika au majuu?
We bana sikuwezi huto maliza leo kama mshakaji wako mkianza duuh, na kwangu its late. For ur question the brother is American lakini pia kuna Dr wa Kiganda ni leading expert in the world when it comes natural medicine hata wachina hawaoni ndani kwa huyo jamaa. Na wapo waafrika wengi sana katika historia wavumbuzi kwenye mazuri na mabaya hata slavery tuliianzisha sisi.
 
.
Kwa hiyo ulikwenda kupiga kura na kurudi. Wewe kweli mzalendo.

Oh yeah nilienda kuitumia haki yangu ya kikatiba. Ila kuna vumbi sana aiseee daaah! Nimekaa mwezi mzima tu nikaanza 'kuchoka'.....ila sasa nimeanza kuwiva tena.....
 
Oh yeah nilienda kuitumia haki yangu ya kikatiba. Ila kuna vumbi sana aiseee daaah! Nimekaa mwezi mzima tu nikaanza 'kuchoka'.....ila sasa nimeanza kuwiva tena.....

Mi ntarudi kugombe ubunge 2015 au urais wakipitisha ugombeaji huru na dual citizenship.
 
Andaa takrima ya kutosha, mie ntakuwa kampeni meneja..free of charge.

Uchaguzi bongo ulevi wa kutosha. Watu wanakula takrima yako afu wanasema ilibaki kidogo tu ungepata. Uchaguzi unaokuja rudi tena.
 
Uchaguzi bongo ulevi wa kutosha. Watu wanakula takrima yako afu wanasema ilibaki kidogo tu ungepata. Uchaguzi unaokuja rudi tena.

Ha ha ha.. ndio maana CCM wanaupandia ushindi hukuhuko NEC..hawataki longolongo na biashra ya kuuziana mbuzi kwene gunia..
 
Back
Top Bottom