Baada ya kupekuwa lori na kukuta karatasi za kupigia kura, TRA wakalizuia lori hilo na kuliwekea seal. I guess ni utaratibu wao wakikamata mzigo baada ya kupekua wanaweka seal yao. Source wa hii taarifa ni anonymous, lakini anasema baadhi ya waandishi wa habari wa Mbeya wanafahamu hili jambo. Hofu yangu ni kuwa wasije wakapewa rushwa ili kuzima kashfa hii kubwa.
Jamani ifanyike kila njia ili jambo hili liwekwe hadharani. wasiweze kuficha ushahidi!! tusilipuuze hili maana ndio hawa ccm wamezoea kufanya kama hizo miaka yote!
Kazi kwa watu wa mbeya na wapenda maendeleo nchi hii.
kwani ikiwa sealed haiwezi funguliwa?
Baada ya kupekuwa lori na kukuta karatasi za kupigia kura, TRA wakalizuia lori hilo na kuliwekea seal. I guess ni utaratibu wao wakikamata mzigo baada ya kupekua wanaweka seal yao. Source wa hii taarifa ni anonymous, lakini anasema baadhi ya waandishi wa habari wa Mbeya wanafahamu hili jambo. Hofu yangu ni kuwa wasije wakapewa rushwa ili kuzima kashfa hii kubwa.
wakazi wa huko hawajapata taarifa,Mi ningekuwa huko ningeshamasisha vijana kama mia hivi tukavamie tuutoe ushahidi hadharani,mambo ya kusubiri haya ndo ushahidi unafutwa.
Mimi ni mtumiaji mzuri wa bidhaa za Azam.
Sasa kwa mtaji huu, mambo yanaweza kubadilika.
Cha muhimu ukishapiga kura usiondoke kituoni mpaka kura zihesabiwe na kupewa matokeo halali kwa kila kituo!nakumbuka mwaka 1995 ilboru sec wanafunzi tulipigia nccr kesho yake matokeo kutoka nccr haina kura hata moja!