Uvimbe kwenye Titi

Habari,ningependa kufahamu dalili za kuwa na uvimbe kwenye titi

Unashauriwa kijichunguza matiti yako kila mwezi Mara moja siku ya 5-7 baada ya kumaliza damu ya mwezi. Simama kwenye kioo AMA mwenzako akiangalie, Kama matiti yako yanalingana, chuchu zinalingana, hakuna chuchu iliyovutwa ndani na ukiinama matiti yanashuka yote bila moja kuvutwa juu. Angalia rangi kama ni sawa na hakuna mabadiliko ya ngozi kuwa kama ganda la chungwa. Tumia Mkono Wa kulia kuangalia titi la kushoto and kushoto kuangalia titi la kulia. Papasa matiti kwa kutumia Mkono unaweza kubaini uvimbe. Pia waweza chunguzwa hospitali.
 
asante kwa kunifahamisha,matiti yangu ni madogo na yanapishana bt sio sn yapo hvyo kwa miaka mingi tu la kushoto ni nene na kulia nene kdg bt la kushoto sametime nikiligusa linauma,ila hzo dalili ulizozitaja sina,wakati mwingine linauma nikikaribia kupata hedhi nikimaliza linaacha na linapungua kdg,itakuwa ninatatizo?
 
kwa symptoms ambazo umezitaja kuwa nazo una FIBROADENOSIS- irregular,ill-defined tender lump, usually bilateral na kunakuwa na discharge(maji maji yanatoka kwny chuchu).
Matibabu ni kutoa uvimbe kwa operation(excision), au ukatumia dawa inaitwa BROMOCRIPTINE au DANAZOL au TAMOXIFEN
 
thanx,bt operation c ndo kukatwa titi huko,na hz dawa naweza kununua tu au mpk niende hosp?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom