UvCCM wapata ajali mbaya Igunga!

Feb 3, 2010
19
0
Vijana wa CCM waliokuwa wakitoka Iringa kwenye kambi maalumu ya Uvccm taifa wamepata ajali mbaya jioni hii huku hali zao zikitajwa kuwa mbaya na sasa wapo katika hospitali ya wilaya Igunga baada ya kupatiwa huduma ya kwanza na wasamaria wema hii nim ajali ya tatu katika siku tatu mfululizo katika eneo la Igunga na Nzega
 
Hatuwapendi ila hatutaki wafe. Tunawapa pole wapone. Tunataka washindwe uchaguzi sio kufa. Poleni adversaries
 
Tuwaombee wapone haraka ili waweze shiriki kikamilifu uchaguzi mkuu wa Rais , Wabunge & Madiwani-2010
 
Tuwaombee wapone haraka ili waweze shiriki kikamilifu uchaguzi mkuu wa Rais , Wabunge & Madiwani-2010
Wabongo bwana mawazo yote ni kwenye uchaguzi tu hatufikirii familia zao zitakuwaje tunasema wapone ili washiriki uchaguzi ni sawa na kusema hata punda akifa mzigo wa bosi lazima ufike jamani
 
Vifo vingi vinatokea kwa WaTanzania kila siku vinavyosababishwa na ufisadi wa chama na serikali yao!!
 
Poleni Vijana wote mliopata ajali, jamani mimi sipendi Vijana mjihusishE na hilo dubwana maarufu kama CCM.
 
Nakumbuka utotoni tunapocheki Movies za Bluce -lee - utasikia " hiyo trailer tu - bado yenyewe haijaanza"..nafikiri kwa hawa ndugu " hiyo ni Trailer....tu movie bdo mwezi wa kumi"
 
Nakumbuka utotoni tunapocheki Movies za Bluce -lee - utasikia " hiyo trailer tu - bado yenyewe haijaanza"..nafikiri kwa hawa ndugu " hiyo ni Trailer....tu movie bdo mwezi wa kumi"

Una maana zitatokea nyingi upande wao?
 
Wabongo bwana mawazo yote ni kwenye uchaguzi tu hatufikirii familia zao zitakuwaje tunasema wapone ili washiriki uchaguzi ni sawa na kusema hata punda akifa mzigo wa bosi lazima ufike jamani

Kumbe wewe nani? Banyamulenge!?
 
mie siombi lolote cous wanazidi kujipendekeza wao wanafaidi wengi wanaumia hivi uvccm ni chama cha vijana au ujinga vema kwa ccm
 
Back
Top Bottom