MWANASHERIA
Member
- Aug 20, 2010
- 84
- 11
ha ha ha ha ha, teh teh teh teh , twi twi twih twih, ama kweli inachekesha.
uvccm wameunda kamati maalumu ya kusaidia kuleta mabadiliko ccm, na kamati hiyo inaongozwa na hussein bashe, ambaye ni mkurugenzi wa habari corporation, kampuni la rostam aziz, na bado bashe alisema kwenye mkutano huo kwamba ana maslahi na rostam aziz kuwa ni boss wake. Lakini bado, bashe ndo kapewa uenyekiti.
hivi kumbe ni kweli, raisi wa tanzania na mwenyekiti wa ccm wa ukweli ni rostam aziz?
kweli ccm sasa haiponi kwa dawa yeyote, wameamua kunywa tindikali ili wapone. Ha ha ha ha ha