UVCCM wagawa kichapo, kijana aliyepigwa apoteza fahamu

CCM wanataka tena kufanya maauaji kwa kuingia propaganda za kumwaga damu eti hao vijana watatu walivaa beji za Nasari inaingia akili kweli kweli mpaka tufike safari ya ukombozi wengi watakufa na kuachwa vilema
 
Back
Top Bottom