UVCCM NA ZIMWI LA LOWASA Vs SITTA

Mbeke

Member
Aug 5, 2012
30
3
Katika jambo la kushangaza ni kwamba zaidi ya nusu ya wagombea wa Umoja wa vijana wa Taifa ni vijana wa Lowasa,hii imethibitishwa na uchukuaji na urudishwaji fomu za ngazi zote!,Beno Malisa ambaye ni mfuasi mkuu wa kumwandalia njia Lowasa kwa mwaka 2015 amekabidhiwa zaidi ya sh billion moja na nusu za kuwanunulia fomu viongozi wajao wa Umoja huo,katika mazingira ya kusikitisha sana,mzee Samwel Sitta naye anahusishwa kwa kumtuma kijana wake Paul Makonda wakati Lowasa akimwandaa Antony Mavunde wa Dodoma,
 
mr. lowassa ni fisadi wakati mr. sitta sio fisadi. mr. lowassa ana mabilioni ya kuonga mr. sitta hana pesa za kuhonga. mr. lowassa anawaanda mafisadi wa miaka ya baadae. wakati mr. sitta ana vijana ambao sio mafisadi. sasa hapo itatokana na ccm wapo upande upi. upande wa lowassa ukishinda 2015 nadhani chadema watakua na nafasi ya kushinda wakati kundi la mr. sitta likishinda kutakua na ushindani mkubwa na chadema..
 
I think Lowassa should feel a bit of shame!
Tanzania itakuwa imepata kiongozi wa maajabu sana kama Lowasa atakuwa rais wa nchi hii.
 
Hii kali. Mungu ibariki hawa majamaa waangukie pua hata huu uchaguzi wao usifanikiwe wakorofishane, watoleane siri watanzania tujue waliotuficha, tuwakwepe maana bado wanataka kutunyonya tu? Tumechoka
 
sitta ni walewale tu,,,,mnafiki,msaliti,fisadi...hana jipya.....ctaki kukumbuka alichokifanya huyu mtu
 
mr. lowassa ni fisadi wakati mr. sitta sio fisadi. mr. lowassa ana mabilioni ya kuonga mr. sitta hana pesa za kuhonga. mr. lowassa anawaanda mafisadi wa miaka ya baadae. wakati mr. sitta ana vijana ambao sio mafisadi. sasa hapo itatokana na ccm wapo upande upi. upande wa lowassa ukishinda 2015 nadhani chadema watakua na nafasi ya kushinda wakati kundi la mr. sitta likishinda kutakua na ushindani mkubwa na chadema..

2015 chadema itashinda hata awaye yeyote ndani ya ccm,hao wote mafisadi usiwatofautishe bali walinganishe.
 
sitta ni walewale tu,,,,mnafiki,msaliti,fisadi...hana jipya.....ctaki kukumbuka alichokifanya huyu mtu
Ama kwa hakika!!! Wanaudhi sana watu wa aina ya Sitta, Kilango, Mwakyembe na Ole Sendeka.
 
I think Lowassa should feel a bit of shame!
Tanzania itakuwa imepata kiongozi wa maajabu sana kama Lowasa atakuwa rais wa nchi hii.

Huyo ndugu hawezi kuwa rais wa nchi hii iwe kwa kura au kuteuliwa!
 
ni vita ya kujiandalia mazingira ya urais 2015 viongozi hawa wameanza kujikita ktk vita ya kumtafuta atakae kuwa kiongozi wa vijana taifa uvccm. je ni kweli ktk ktk vita hii lowasa ataangushwa tena na sitta? au sitta hatakubali lowasa ampate kiongozi wake wa uvccm?

mabilion ya pesa yatamwagwa sana huku raia wakiwa hawana huduma bora za afya, je kiongozi atakae patikana uvccm hataweza kuwa fisadi kama kupatikana kwake ni kwa njia haramu?

sita amewai sema kuwa lowasa ni fisadi, je nani mbabe ktk vita ya kumpata kiongozi uvccm? lowasa au sita
 
Mbabe ni atakayeshinda. Tsubiri. Au mkuu wewe mtabiri?
 
Wanaodhani hii ni vita ya magamba wanaota ndoto mchana kweupee! Lowassa ni janga kwa taifa lote na haijalishi uko upande gani maana akishakuwa mgombea basi kwa wizi alioufanya atahonga kila mtu mpaka afike anakotaka na kwa mara ya pili katika historia ya Africa (ukimuweka na Charles Taylor) humo, tutakuwa na Rais anayetakiwa kuhamia the Hague kwa kuua wananchi wake kutokana na vitendo vyake vya kifisadi.

Chadema wanaongea tu na mpaka sasa ukiwauliza mgombea wao ni nani hawajui , maana Slaa atapigwa chini muda si mrefu baada ya tuhuma zake za kujichotea mahela ya chama.
 
mr. lowassa ni fisadi wakati mr. sitta sio fisadi. mr. lowassa ana mabilioni ya kuonga mr. sitta hana pesa za kuhonga. mr. lowassa anawaanda mafisadi wa miaka ya baadae. wakati mr. sitta ana vijana ambao sio mafisadi. sasa hapo itatokana na ccm wapo upande upi. upande wa lowassa ukishinda 2015 nadhani chadema watakua na nafasi ya kushinda wakati kundi la mr. sitta likishinda kutakua na ushindani mkubwa na chadema..

Swadaktaa! Fair analyisis!
 
sote kama vijana lazima tuungane kwa pamoja katika maamuzi sahii,kimsingi uamuzi wa chama cha mapinduzi katika kiongozi ajae ni wakimsingi kwani c tu wanaandaa wanaccm wajao bali na viongozi wa taifa,ni imani yangu chama kimeandaa mpango mzuri tu utakaotoa nafasi ya kila mmoja kujieleza na kupitia maelezo yao walioandika katika form zao kabla ya kufanya mchujo,ieleweke maamuzi hayafanywi na watu wawili ndani ya chama bali halmashauri nzima chini ya uongozi wa mwenyekiti,vijana waliochukua form ni wengi na wote ni wazuri ila watatofautiana ubora kulingana na maelezo yao hivyo ni busara kusubili kuona mchakato mzima
 
sote kama vijana lazima tuungane kwa pamoja katika maamuzi sahii,kimsingi uamuzi wa chama cha mapinduzi katika kiongozi ajae ni wakimsingi kwani c tu wanaandaa wanaccm wajao bali na viongozi wa taifa,ni imani yangu chama kimeandaa mpango mzuri tu utakaotoa nafasi ya kila mmoja kujieleza na kupitia maelezo yao walioandika katika form zao kabla ya kufanya mchujo,ieleweke maamuzi hayafanywi na watu wawili ndani ya chama bali halmashauri nzima chini ya uongozi wa mwenyekiti,vijana waliochukua form ni wengi na wote ni wazuri ila watatofautiana ubora kulingana na maelezo yao hivyo ni busara kusubili kuona mchakato mzima.
 
yaani hiyo sinema yao sielewi EL jamani aone aibu kidogo. hyo benno si alikuwa mshikaji wake riz kwahyo kabadilisha kambi
 
Asante mkuu,naona hilo jibu linamtosha,manaake anauliza km vile yy mgeni tz.....

bado kidogo bhana, huyu Sitta si ndo aliyeng'ang'ania kwenye ile nyumba ya serikali ambayo kimsingi alitakiwa akae huyu spika wa sasa huyu bi naniii, aahh,nani huyuuuu, aahh eeh huyu bi Kiroboto. Huyu mzee naye sio msafi huyu, sema tu nadhani wenzie walishamuwahi ndo maana anaonekana kama mtakatifu vile.
 
Back
Top Bottom