UVCCM mwendo wa kuchapana kama CUF enzi hizo... Sasa ni Mara

Dah tarimeeeeeeeee

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
SIJAWAHI KUCHEKA TOKA NIJE HUMU JF. CCM HAWAWEZI KUFANYA HIVYO. HAO NI CDM WAMEVALIA TU NGUO ZA CCM... Natania ! Mola weeeee, ebu tuepushe na hii hatari ya kugombea uwakilishi !
 
Kweli sisimweli ni sehemu ya kupa mali yani watu wana shikiana mapanga namna hii!
 
Kufilisika kimaadili kujumlisha na laana za watanzani matokeo ni ccm kupata kichaa. Bahati mbaya wanapoehuka hushia kusema chadema, si mliona na kusikia kauli za ugomnvi mwingine kule morogoro!
 
Back
Top Bottom