UVCCM mwendo wa kuchapana kama CUF enzi hizo... Sasa ni Mara

KUNA kijana wa tarime anaitwa TOTO alihama CHADEMA kimasilah zaidi sasa mbona anajidhalilisha alikuwa CDM tangu akiwa UDSM mpaka anamaliza ghafla akahamia MAGAMBA tangu juzi alipanga kutoa fedha na kuhakikisha anatimiza lengo lake DITTU acha tamaha ya madaraka kaka huko ccm si wenzako
 
hoja hapasi ukabila kuna na ccm hakuna mkurya wakurya wako chadema sababu shida ya mkurya nchi hii na jinsi anavyobaguliwa na serikali ya magamba nashangaa kusikia kuna mkurya ccm kwa lipi? hawa wote waliomo ccm ni wakurya wa kambo si wakurya real
 
Mkuu, ndugu zangu wajita hawaaminiki sana. Mkono amekuwa akiwahonga huko majita na kila uchaguzi kupita bila mpinzani. Hili unalielezeaje? Aren't they too cheap?
Hakika Wajita kama wataendelea na usingizi walio nao kwa sasa basi wasitarajie miujiza ya kuwaletea mabadiliko ya kimaendeleo katika siasa za CCM Mkoani Mara.Angalia tangu Mungu alipoumba dunia hii wao wameendelea kunywa maji ya kunyang'anyana na Mifugo yao.Wakati Wilaya na Majimbo vikigawiwa katika Mikoa na Wilay mbalimbali nchini kwa CCM Wajita hili si hitaji lao matokeo yake jimbo la Musoma vijijini ni kubwa zaidi ya baadhi ya mikoa hapa nchini yote haya yakishindikana kutoka na matakwa ya akina Mkono.
 
Wakurya wamejipanga mno wakiongozwa na Vedastus matao tajiri aliekuwa mbunge wa musoma vijijiji na kwa sasa ni MNEC Musoma mjini na anataumia hela yae kuopnga safu VIONGI WA MARA WENGI WAO WAKIWA WAKURYA!

ANAINGILIA KILA WILAYA KUPANGA SAFU HELA YAKE IMEWAWEKA MFUKONI TAKUKURU KWAKE HAWAONI KABISA MFANO KATIKA UCHAGUZI WAKE WA NEC MUOSMA MJINI KIJANA WA KAKA YAKE ANAITWA MARWA ONGOING MWENYEKITI WA VIJANA MKOA ALIKUWA ANAGAWA HELA WAZI WAZI UKUMBINI ELFU 80000 LAKINI TAKUKURU WALIPEWA TAARIFA WAKAKAA KIMYA IKASIHIWA KUANDIKWA TU KATIKA MAGAZETI NA HATIMAYE VEDASTUS AKATANGAZWA KUWA MNEC!

SASA ANA VITA YA KUHAKIKISHA MAKONGORO MZANAKI HAPATI KITI CHA CCM MKOA ANATAKA KUTUMIA FEDHA ZAKE KUWEKA MKURYA WAGOMEA NI WATATU WAWILI WAKURAY MMOJA MZANAKI!

VEDATSUS MATAYO ALIHUSIKA MOJA KWA MOJA KUPANGA SAFU YA WAKURYA KWA KUTUMIA FEDHA ZAKE KATIKA WILYA YA BUTIAMA!

(1) MWENYEKITI VIJANA DARASA LA SABA MKURYA!! PESA ILIMSHINDA KIJANA MSOMI 22 YEARS!
(2) MWENYEKITI AKINA WANAWAKE MKURYA DARASA LA SABA!
(3) MWENYEKITI CCM WILYA MKURYA FORM 4
(4) MNEC MKURYA FORM SIX.

PESA YA MATAYO YA MAFUTA NA IKISAIDIA NA MZEE ............. ITALETA KIAMA CHA CCM KUANGUKA MKOA MZIMA, HASA WAJITA WAMEONEWA SASA TENA WASHINDI WANTAMBA KUWA NI RAHISI KUMUNUA MJITA!!!

Ila sio majita mimi.hahahah
Hivi kwa sasa Tanzania kuna mkuu wa wilaya au Mkoa ambae ni mjita kweli.Manake kwa mawaziri ni mbali mno.Au tumeishia tu kuwa ma-JAJI
 
Hakika Wajita kama wataendelea na usingizi walio nao kwa sasa basi wasitarajie miujiza ya kuwaletea mabadiliko ya kimaendeleo katika siasa za CCM Mkoani Mara.Angalia tangu Mungu alipoumba dunia hii wao wameendelea kunywa maji ya kunyang'anyana na Mifugo yao.Wakati Wilaya na Majimbo vikigawiwa katika Mikoa na Wilay mbalimbali nchini kwa CCM Wajita hili si hitaji lao matokeo yake jimbo la Musoma vijijini ni kubwa zaidi ya baadhi ya mikoa hapa nchini yote haya yakishindikana kutoka na matakwa ya akina Mkono.

Mkono akifa tu wajita watachukua jimbo.Mie si nilishasema humu humu JF kuwa hakuna kiumbe simpendi kama li-Mkono.linajidai eti limejenga shule musoma vijijini.Thubutu.Nenda Majita ushangae,shule za msingi zote ni MAGOFU na hakuna lolote.yaani utafikiri majita yote na watu wake ni antiquties
 
Hivi kwa Umri wa Gachuma does he qualify kuwa Kamanda wa vijana ndani ya CCM? tafadhali msaada hapo nipate kujifunza kitu hapo
 
Haa haaaa wasije wakasingizia ni wafuasi wa CDM maana wamekosa haya watu hawa..... ile dhambi sasa imeanza kuwatafuna wenyewe na bado kwenye ubunge 2015 tutaona zikitumiwa bastola .
 
Kipi kinachoshangaza?...historia yao tangu enzi hizo CCM/Yanga bakora ndio msahafu wao
 
walau hakukuwa na "kitu chenye ncha kali".

CCM na vyombo vyake ndio basi tena...ama watasema Vijana waliofanya fujo walitumwa na CHADEMA? acha tusuribiri PROPAdanganya
 
Mkono akifa tu wajita watachukua jimbo.Mie si nilishasema humu humu JF kuwa hakuna kiumbe simpendi kama li-Mkono.linajidai eti limejenga shule musoma vijijini.Thubutu.Nenda Majita ushangae,shule za msingi zote ni MAGOFU na hakuna lolote.yaani utafikiri majita yote na watu wake ni antiquties
Mkuu hawa jamaa kuchukua jimbo ni uwezo waliokuwa nao siku nyingi zilizopita lakini hali imekuwa hivyo kutokana na wao kuendelea na usingizi.Wakati Tanzania hii na watu wake sehemu mbalimbali wakipambana kudai haki zao za Kikatiba wao wamegeuka kuwa bidhaa hafifu(reject goods)wakikubali kununuliwa kama alivyoelezea Gagnija.Cha kushangazi kila Mjita anaepata mafanikio ya kimaisha anaihama Majita kabisa na akirudi kule sana sana ni Baba au Mama kafariki.
 
Yaani wajita kuwa bidhaa hafifu ya kununuliwa kwa bei nafuii ni aibu mno kwa wajita wote
 
Yaani wajita kuwa bidhaa hafifu ya kununuliwa kwa bei nafuii ni aibu mno kwa wajita wote

Wajita wengi wamejenga sana Dar tena VILLAs na hawarudi kwao tena hata wakifa wanzikwa Dar au mikoani, cha ajabu hao walioko nje tena wasomi na wafanya biashara NDIO WA KWANZA KULAUMU ETI MKONO HAJENGI MAJITA! YEYE ANATUMIA HELA ZAKE KWA SILIMIA KUBWA NA TENA NINASIKIA AMESAIDIA SANA KUINYANYUA MAJITA TANGUA LIPOKUWA MBUNGE TOFAUTI NA WABUNGE WALIOTANGULIA!

CHA AJABU BAADA YA KURUDI KWAO NAKO KAJENGA ILA KIWANGO CHA JUU KIDOGO ETI WAJITA WANACHUKIA BUT NI NDANI YA JIMBO MOJA! JAMANI CHARITY NEGINGS AT HOME!

WAJITA WENGI MADIWANI WA NYANJA HAwaishi katika kata zao ila wanaishi musoma mjini. Na wao pia hawataki makao makuu ya halamshauri yao ya pili iwe Busekela au Mrangi bali wanataka waendelee kuwa wanalelewa na Musoma mjini!

teend ni kuwa wajita waliopata nafasi kidogo wanakatilia musoma mjini na waliopata nafasi kubwa na kutoka nje ya Musoma wamekatalia MIKOANI mwanza, dar shinyanga nk LAKINI CHA AJABU HAO WALIOKO NJE WANAJIFANYA KUWAPENDA SANA WALIOKO KIJIJINI NA WA KWANZA KULALAMA.
 
Back
Top Bottom