UVCCM kuandamana kumuunga mkono JK baada ya kusaini mswaada wa katiba!

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,592
1,599
Kuna tetesi kuwa, UVCCM wanaandaa maandamano ya kumpongeza kwa ujasili wake wa kuusaini mswaada wa kuanza mchakato wa katiba leo. Maandamano haya yatafanyika hapa DSM na mikoani, kwa hapa dsm inasemekana atayapokea mwenyekiti wa chama, jk mwenyewe.
more news to come!!!!
source....vigogo wa uvccm.
 
ccm mkombozi watz wote........watz ni mashahidi kwa kukombolewa kutoka utumwa wa mafisadi...sasa watz wako huru
 
...wanaandaa maandamano ya kumpongeza kwa ujasili wake wa kuusaini mswaada ...
Kumbe ilihitaji ujasiri kuusaini muswada? Hii inatoa picha gani, kuwa muswada una matatizo ndio maana alihitaji ujasiri, otherwise kama ni muswada mzuri angesaini tu bila kuumiza kichwa!
 
kamanda Kova taarifa za kiintelejensia zinasemaje? Au Al shabab hawana bifu na CCM
 
Kuna tetesi kuwa, UVCCM wanaandaa maandamano ya kumpongeza kwa ujasili wake wa kuusaini mswaada wa kuanza mchakato wa katiba leo. Maandamano haya yatafanyika hapa DSM na mikoani, kwa hapa dsm inasemekana atayapokea mwenyekiti wa chama, jk mwenyewe.
more news to come!!!!
source....vigogo wa uvccm.

Sasa ujariri upi? walitaka asini nani wakati Rais ni yeye, hawa jamaa vipi? Ama kweli panya akitaka jina hujipitisha kwa watu
 
Wakairuhusiwa kuandamana basi ntajiuliza mara 2iweje wao wkt wanaharakati walinyimwa
aisee alshabaabu wajitoeze wavue hawa jamaa magamba yao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom