Uvccm kuandaa maandamano kushinikiza bodi ya mikopo kuvunjwa!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
kamati ya uvccm imetoa tamko kushinikiza serikali kuivunja bodi ya mikopo!wata andaa maandamano nchi nzima!wakati huo huo mawaziri wa mikopo wa vyuo mbalimbali wamesema wana siasa wasichukulie suala lao kama la manufaa ya kisiasa bali serikali ibadilishe mfumo wa bodi ya mikopo uwe bora zaidi kwa kuwa tatizo ni watendaji sii bodi!source radio one!wana jf kama maandamano uvccm yatafanyika nafikiri tuunganishe hapo hapo kale ka utaratibu ka TUNISIA NA MISRI mwasemaje?
 
don't expect anything white from the charcoal! don't see anything sincere from this party wing! it's all flaterry
 
Hawa jamaa, wanataka kuitumia hiyo kujirudisha kwa vijana..... Lakini hatudanganyiki!!!
 
Labda kama kuku wa siku hizi wanajifungua badala ya kutaga . . . .
 
Wamekosa pakuegemea siyo!!!!. haya ngoja tuone kama tuna wasomi vyuo vikuu watakaodandia hii gari.
 
wanachekesha sana wanatuona mbumbuu da inasikitisha sana hawa vijana kutuona wajinga kiasi hichi lakn ,msimamo wetu uko palepale
 
Na wakiandamana wapigwe mabomu na virungu na maji ya kuwasha mpaka washike adabu pambafu kabisa hao.
 
kamati ya uvccm imetoa tamko kushinikiza serikali kuivunja bodi ya mikopo!wata andaa maandamano nchi nzima!wakati huo huo mawaziri wa mikopo wa vyuo mbalimbali wamesema wana siasa wasichukulie suala lao kama la manufaa ya kisiasa bali serikali ibadilishe mfumo wa bodi ya mikopo uwe bora zaidi kwa kuwa tatizo ni watendaji sii bodi!source radio one!wana jf kama maandamano uvccm yatafanyika nafikiri tuunganishe hapo hapo kale ka utaratibu ka TUNISIA NA MISRI mwasemaje?
Sawa mkuu tuunganishe hapo hapo, ila hawa uvccm wanajua tatizo kweli? mi nawataadharisha tu wasiingize siasa kwenye maswala ya msingi kama haya,wao wakawazue wakubwa zao kuto kuilipa dowans na hiyo pesa ipelekwe body watoto walipwe mapema,body siyo taasisi ya kisiasa,mi nawaomba waache kabisa,hivi body ikivunjwa tutalipwaje na lini?
 
wapuuzi kweli kweli hao. mbona hawaandamani rostam asilipwe? wapi kunaitia hasara nchi, kuilipa dowans ambayo imeshakula huko nyuma na inataka kula mapesa ambayo yangepelekwa bodi ya mikopo na kuboresha utendaji kazi na wanafunzi wakapata hiyo mikopo au kuivunja bodi?

kwa nini wasiandamane kumshinikiza mwenyekiti wa li-chama lao akapunguza kama si kuacha safari za nje ili pesa hiyo ipelekwe bodi na wanafunzi wakakopeshwa kwa wakati? wanajua safari moja ya jk inatumia mamilioni mangapi na kila safari inasababisha mamia mangapi ya wanafunzi kukosa mikopo?
 
It is too good to be true. Wangefocus kwenye mambo ya msingi yenye maslahi ya taifa hili kwanza kama dowans.
 
UVCCM hawana kumbukumbu wala aibu. Walipoteza sifa ya kukemea maovu pale walipokubali kufadhiliwa mamilioni na Tani Somaia ( wa Shivacom) yule mtuhumiwa wa ufisadi wa Rada katika uchaguzi wao mkuu uliopita. Wazungu wanasema "who pays the piper calls the tune". Kuiandama bodi ya mikopo ni kujikomba kwa wanafunzi. Period! It is too late.
 
Agenda yao si kusaidia wanafunzi bali kutafuta umaarufu na imani kwa vijana. Nafikiri hii ni mbinu ya wanasiasa wakongwe ndani ya ccm taifa ambao wanawatumia vijana baada ya kuona ccm taifa imeoza kwa wananchi. Na huu ni mwanzo wa kujisafisha kupitia vijana ili 2015 wawanie urais. Wanajua vijana wa vyuoni ndio nguvu kubwa ya taifa, bado kuna wale waliopo sekondari ambapo baada ya miaka mitano watakuwepo vyuoni, ili kuwapata lazima wasikilize kilio chao. Na kama wakifanikiwa watakuwa wamejizolea imani kwa wazazi wa wanafunzi pia. Si ajabu tayari imeshapangwa waandamane halafu rais aivunje bodi ya mikopo, Credit iende kwa CCM kupitia UVCCM.

CCM ni chama kilicho na majasusi hivyo wanaweza kufanya lolote hata kujipinga hadharani ilimradi wapate credit. Je wanafunzi wataingia mtegoni ?Tuwe macho.
 
Maskini nchi yetu, kweli hawa ndio viongozi watakao kuja kuingoza nchi yetu,...?!! ni muda muafaka wakuona uwezo wa wasomi wetu wakufikiri na kutatua mambo, je wataangukia kwenye mtego huu ?
 
Msikae mkadhani kuwa lile zimwi lililowatesa litageuka siku moja na kuwa mwanambuzi(Mohamed Babu); hivi vichalii vinatafuta namna ya kutoka,lakini kikatibu chao kilishasema 'ngoma yao haikeshi' kuna jipya hapo?
 
Uzushi tu..............ccm wanadhani tutaendelea kuhadaiwa kila siku.....hawa vijana ni mamluki tu wamenunuliwa na mafisadi......hawana sifa wala uwezo wa kuandamana kwani hiyo ndiyo serikali yaoo na ndiyo sera ya ccm kutesa na kuua watu.......km hawakubaliani na viongozi wao na wanajua chama kinanuka uvundo basi wangeharakisha kujiengua na kujiunga chadema matumaini ta watz..............lakini hizi siasa za nao kutaka wasikike wakati muda wote wanakitukuza chama chao kwa nyimbo na mapambio huu ni unafiki wa hawa vijana............ningekuwa na uwezo ningezamia ule mkutano na kuwakamata wote na kuwapiga mabomu ya machozi na risasi za moto......
Tuache unafiki nchi hii....hakuna mwenye uchungu na nchi ambaye bado yuko ccm
 
Kama vipi tuvamie maandamano yao au tupinge maandamano yao kwani wao kama ccm hawana haki hiyo zaidi ya kuiambia serikali yao kuchukua pesa kagoda, deep green, meremereta, kutaka dowans iilipe tz badala ya dowans kuitaka tz iilipe, kuandamana kwa ajili ya kumfukuza rais wao wa jihuni na dhaifu na kuwafukuza akina makamba hapo tutawaona wa maana sana....ila hizi siasa zao za njaa hatuzitaki waandamane kwa mambo ya msingi na sio upumbac=vu wanaotaka kufanya......
Naapa nitashiriki kuvuruga maandamano yao ya kihuni
 
Back
Top Bottom