UVCCM: Hussein Bashe amjibu Nape kiaina

Bashe amepata wapi mamlaka ya kuongelea mambo Tanzania? Huu si uchokozi kwa raia wa nchi moja kuingilia siasa za another sovereign nation?
Ni wachache ndani ya CCM wanaoweza kujikosoa, huyu mtoto amenena hata kama si raia wa TZ. Mbona maraia wanafisadi maliasili ya nchi. Tunahitaji watu kama hao wenye jeuri ya kuwaeleza ukweli wazee Chamani.
 
CCM katika vikao vyao vya kuhujumiana ndo waliotuambia..tena na vyeo wakamvua :) Sie wala tulikuwa hatuna habari yakhe! So walaumu hao haooo.

Kinachosikitisha ni kukubali baadhi ya mambo maavu ya ccm na kuyakataa mambo baadhi maovu ya ccm. Hoja yangu iko hapo tu, waafrika ni wabaguzi sana
 
Kuna mambo ya msingi sana ameeleza na kama Mkabila Nape akisoma haya maelezo ya Bashe anaweza kubadilisha approach anayotumia kufikisha ujumbe ambayo imekuwa na madhara kuliko kujenga shame on you Nape

"HUYU NDIYE CCM WALIPASHWA WAMWEKE KWENYE NAFASI YA NAPE" Lakini kwa bahati mbaya CCM watu kama hawa haiwahitaji.ADUI MKBWA WA CCM NI MWEREVU NA RAFIKI MKUBWA WA CCM NI MJINGA.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Alitoa Mfano kwao Nzega kati ya kata 130 za wilaya ya Nzega kata 90 zina upungufu wa chakula,

Kaka Bashe

Nzega kweli ina kata 130? Rejea takwimu zako, vingenevyo utakuwa huijui vizuri Nzega!
 
nashukuru kumkubali kwenu bashe bt mjue anauwezo wakuwashinda wabunge 6 wa cdm kwa hoja kwenye mjadala,kubalin na hilo.
 
ww c mjnga ulifeli fom 4? utakuwa upande gani hapo ?
<font size="4"><font color="green"><b><i>&quot;HUYU NDIYE CCM WALIPASHWA WAMWEKE KWENYE NAFASI YA NAPE&quot;</i></b></font></font> Lakini kwa bahati mbaya CCM watu kama hawa haiwahitaji.ADUI MKBWA WA CCM NI MWEREVU NA RAFIKI MKUBWA WA CCM NI MJINGA.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
<br />
<br />
 
Wewe Bashe ni msomali rudi kwenu somalia unaingia kwenye siasa kwa nguvu kuficha uraia kama A. Kinana alivyofanya kupitia jeshi. Jamani Tanzania tunaenda kubaya sijui wajukuu wetu ikakuwaje miaka hiyo
 
Wana JF heshima kwenu,

Sijakuwepo JF kwa muda kutokana na kutingwa na shughuli lakini nimeona katika hili nimjibu LAMPARD na kutoa ufafanuzi kidogo
 
Mr. Bashe, hotuba yako inaonesha kuwa unaweza kuwa mwandishi au mzungumzaji mzuri sana, na labda ndio maana umeweza kupata nafasi ulizopata ndani ya umoja wa vijana, na labda hata kupata ajira uliyonayo kwa ndugu Rostam. Wasi wasi wangu kwako ni kama una credibility ya kusema uliyosema. Mtu yoyote akiisoma habari hii bila kuangalia background ya mtoa hotuba ataona kuwa hii ni habari nzuri sana yenye mvuto mkubwa sana. Ila tu ukiangalia background ya ndugu Bashe unaona hotuba hii ina walakini:

Kwanza je ndugu Bashe ambaye ni mwajiriwa wa Rostam, anaweza kwa vyovyote vile kusema ukweli kuhusu ubaya wa bosi wake? Jibu utalipata kwenye hotuba hii kwamba ndugu Bashe hayuko tayari kwa hili. Ameongoea kuhusu "watu wanaotuhumiwa", sidhani kwamba suala la Rostam na Dowans bado ni tuhuma. Ushahidi unaonyesha Rostam ndiye haswa muhusika mkuu wa Dowans, na hata mwakilishi mliyemleta alitamuka hilo. Hizi sio tuhuma huu ni ukweli kwamba Rostam, mwajiri wako, mwana CCM yuko ndani ya ufisadi wa Dowans, na kama kiongozi anatakiwa awajibike kwa hili kwa kurudisha nyuma heshima ya CCM na serikali ya CCM.

Pili, ukiisoma kwa undani hotuba hii imelenga kumushambulia ndugu Nape, ambaye ni kiongozi wa chama chako wewe. Umefanya ushambulizi huo kiujanja ujanja ili ionekane tuhuma za watu waliotuhumiwa kwa ufisadi ni sawa kabisa na tuhuma za wale wanaotuhumiwa kwa kuanzisha CCJ?, Ndugu Bashe, kumbuka kosa la ufisadi ni uhujumu wa uchumi na la uanzishaji wa CCJ ni upanuzi wa demokrasia nchini. Ushauri wangu ni kwamba mwacheni Nape afanye kazi yake ya kurudisha mvuto wa wananchi, ili waje wapimwe na kulaumiwa kwa hilo na usitumie kamati yako kuendeleza siasa za makundi ambazo zimeifikisha CCM hapa ilipo sasa hivi

Inafurahisha sana unavyotafasiri sababu zilizo potezea umaarufu CCM, wakati huo huo unaendeleza sababu hizo katika hotuba hii. Na kama hili ndilo utalifanya mikoa yote utakayo zunguka then tutastaajabu kama utakuja na kitu kipya cha kusaidia umoja wa vijana uliokuchagua.
 
"HUYU NDIYE CCM WALIPASHWA WAMWEKE KWENYE NAFASI YA NAPE" Lakini kwa bahati mbaya CCM watu kama hawa haiwahitaji.ADUI MKBWA WA CCM NI MWEREVU NA RAFIKI MKUBWA WA CCM NI MJINGA.MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Hah hah hawakumpa sababu i. si raia wa tz hivyo mbele ingeleta mtafaruku, ii. walipata tetesi kuwa chadema wanamtaka na atahamia huko muda muafaka ukifika
 
Kama kukaa kimya dhamani yake nia dhahabu.. Na kuongea thamni yake ni shaba... Basi MZEE LOWASA amefaulu manake uzoefu unaonyesha hata siku moja hajawani kujibu hoja yoyote kati ya mijadala mingi inayomuhusu yeye juu ya THUMA za ufisadi..
 
Nafikiri busara zake alizitumia vibaya kujinufaisha, lakini jamaa anaonekana ana akili dunia nzuri.
 
"HUYU NDIYE CCM WALIPASHWA WAMWEKE KWENYE NAFASI YA NAPE" Lakini kwa bahati mbaya CCM watu kama hawa haiwahitaji.ADUI MKBWA WA CCM NI MWEREVU NA RAFIKI MKUBWA WA CCM NI MJINGA.MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Si hata Nape kabla hajapewa watu walikuwa na matumaini. Si wapo wengine sample za Kina Six nao waltoa matumaini lakini Once wakiingia "jikoni" unashangaa.?????

Wanakuwa wazuri na wanaonekana wote wanshangaa mbona mapishi hayaivi wakati i tukiwa nao huku "sebuleni" .

Wakiitwa kusaidiaina nawalio jikoni wanajikuta wameanaza kuongea lugha moja na wapishi waliotangulia. Wanasahu kuwa kuna watu walikuwa nao sebuleni wakijiliza kwa kwa nini wapishi hawaivishi.
 
Ndugu Hussein Mohammed Bashe bado ananipa wasiwasi kuwa hali za mivutano kule Nzega hajazimaliza............naendelea kuamini hivyo? i know politics na nimesomea and i know what i mean by saying that, kwanza naomba ukane hadharani huna jeraha,vita, kisasi kwenye nafsi yako juu ya uchaguzi wa jimbo la Nzega na mtu yeyote. na hili linalozunguka sasa kwamba ukishindwa wewe kurudi jimboni nzega mnamuanda kijana mwenzio SALIM ALLY wa UDSM kuja kuchukua jimbo 2015 je hili ni kweli?.

-umezungumza kuhusu uchaguzi na wanaccm 2015, mbona wewe tayari unakundi lako kwa ajili ya LOWASA AMA NCHIMBI kuwa rais baada ya Jakaya? mbona unaongoza zengwe la kumuingiza JAMAL KASSIM kuwa mwenyekiti wa Taifa UV-CCM na katika hilo wewe ukiwa kama mhasibu wa kutunza pesa za kampeni na kuwagawiya wapiga kura? sijui unapozungumza hayo unadhani unayofanya wewe wananchi hawaoni ama hawaelewi? na hili mnalopanga la mdogo wako IBRAHIM MOHAMED BASHE kuwa Rais wa UDOM mmefikia wapi? maana naona maandalizi ni makali sana, JUA TU KWAMBA KILA MNALOFANYA NA KUNDI LAKO LINAFAHAMIKA ila natakakusema tu huo ndio mwisho wenu wa kufanya haya madudu yoooooooooooye...yoooote so kila mnaloona mnaweza kufanya fanyeni after muda fulani ndio mwisho wa kundi lenu wote kuwalaghai WATANZANIA.

-UVCCM ambayo wewe ni mjumbe mnakazi kubwa sana kuibadilisha, ila nadhani ndio mnakamilisha muda wenu wa umri kikanuni sitegemei mnaweza CHAKACHUA TENA UMRI MRUDI HAPO, malizeni muda wenu waingine VIJANA WANAOWEZA FANYA KAZI SAWA SAWA KWA MASLAHI YA VIJANA WA TANZANIA, naamini nusu yenu mnaondoka 2012, japo mnapiga debe suala la umri liongezeke ili muendelee kukaa hapo UVCCM kwa maslahi ya kundi lenu, enough is enough.

Ndg yangu Lampard acha Upotoshaji,

Nikujibu kwa Ufupi:

Sikweli kuwa nina mdogo wangu aneitwa IBRAHIM anaesoma UDOM, mdogo wangu Ibrahim amemaliza Mzumbe na sasa yupo Mtaani akitafuta ajira kama Vijana wengine wa Kitanzania.

Hoja ya kwamba nina jeraha, ama kinyongo, ama chuki nayo ni Upotoshaji. Sina kinyongo that's why nilirudi Jimboni kumsaidia aliyeteuliwa ili chama changu kishinde, this tells a lot. Nadhani waliokupa taarifa hizi wamekupotosha. Lakini haina maana nimesahau yaliyotokea na wala sipo hapa kujadili uhalali wa hoja iliyotumika kutoniteua, bali nikuthibitishie sina kinyongo lakini siwezi kusahau kama ambavyo sijasahau matukio. Ya 2007, Kizota pale jina na kura nilojipigia zilipopotea kimuujiza. Sitasahau ya 2005 Nzega ktk kura za maoni na mimi kuwa Mshindi wa Tatu, sitasahau ya 2008 Dodoma, yote haya yamekua sehemu ya Historia yangu hayatafutika lakini sina kinyongo.

2010 nilimsaidia mbunge wangu kwani niliamini si yeye wala Chama (taasisi) walionikosea that's why mimi na team yangu ilimsaidia Kigwangalla.

Hoja yako kuwa ninamuandaa SALUM ALLY ni hoja potofu, 2015 kama nilivowahi kusema nitarudi kugombea Jimbo la Nzega na hivi sasa naendelea kutekeleza ahadi nilizotoa 2010 kwani wana Nzega walinipa kura 14,420 kati ya kura 19,000 zilizopigwa.

Hoja yako ya kuwa mimi nina kundi: Hakuna mwanasiasa asiyekuwa na kundi lake, msingi wa hoja yangu ni kwamba siasa 2015 zinakiumiza chama kwani sasa kuanza mikakati hiyo ni kudhoofisha chama wajibu wangu na wewe na wana CCM wote ni kumsaidia Rais Kikwete kutekeleza Majukumu yake KUFIKIA MATARAJIO ya WATANZANIA; bila ya hivo 2015 CCM haitakuwa na uhalali wa kuchaguliwa, ni wendawazimu kuanza kampeni leo wakati hata nusu ya tearm ya Pili ya Kikwete haijafika. Nikushauri acha mawazo mgando hayo.

Hoja yako kuwa namuunga Mkono Lowassa na Nchimbi kwa URAIS nayo ni upotoshaji. Hawa watu hawajatangaza labda wamekuambia wewe mimi sina taarifa. Ila kama Lowassa atasema anagombea sitasita kumuunga mkono kwani ninaamini katika uwezo wake wa kusimamia na kufanya kazi hilo sina mashaka nalo (ni msimamo wangu binafsi ambao unaweza kuendelea kubaki hivi ama kubadilika kulingana na wakati husika), kama chama kitamteua nitamuunga mkono bila shaka. Lakini sasa sina taarifa hizo.

Hoja ya Jamal nayo ni upotoshaji. Si kweli unalosema, na usimzushie ili aonekane ameanza kampeni mumkate, na mtu anapokuwa na Uwezo ni vizuri mkakubali. Uwezo wa Jamal hauna mashaka, kama chama kitamteua atahukumiwa na wapiga Kura na mimi nitakayemuunga mkono muda ukifika utamjua kwani sina sifa ya Kujificha katika Msimamo wangu.

Ndg yangu,

Hoja yako juu ya umri nikutoe shaka; Mimi ninaheshimu kanuni na taratibu, sina uroho wa madaraka, Kamati yangu haijapewa ktk Hadidu rejea zake hatuna suala 'Umri' kwa hiyo usiwe unahukumu bila Facts.

Pia ninapoongelea hoja ya Urais 2015 ninamaanisha kwamba wana CCM tufanye siasa 'above Group Politics' kwa Maslahi ya Chama Chetu na taifa. Linapokuja suala la nchi ni muhimu kufanya kazi 'Above Party Politics', hii itaisaidia nchi yetu. Nikushauri usipende kuwa kasuku, ongea kitu ambacho unakijua na una Facts zake. Ni rahisi kujua UJINGA wa mtu kupitia maandishi, kwahiyo wanpokupa cha kuongea fanya uchunguzi.

Lampard, nimeona kauli yako unasema kundi letu mtalimaliza; maana yake wewe una kundi unalolinda. Usionyeshe 'ujinga' wako kirahisi hivi. Nchi hii imeumizwa na 'Cheap Politics' ni Vizuri ukaanza kufikiri above Group Politics na Party Politics. Fanya uchunguzi kuwa na Facts kabla hujaongea.

Ndg yangu Lampard,

Nikuombe usiwe miongoni mwa wanaoumiza nchi kwa kufanya siasa ambazo ni 'Based On Speculations'.

Leo nchi yetu imeumia sana kwa aina hii ya siasa, CCM kimekuwa chama ambacho kinaumizwa sana na siasa hizi za Uzushi na Uongo.

Nilivyokusoma unaonyesha wewe ni Mwana CCM mwenye kundi ndani ya CCM. Nikushauri usikubali kila unachoaminishwa. Jifunze kuwa tabia ya kuhoji, why, how, when, which, what... Hii itakusaidia kusimamia unachoamini kwa Hoja.

Nimeona ukijisifia usomi wako wa Siasa; Nikiri inawezekana ni msomi wa siasa, basi anza kuwa 'Mwana Tafakuri' ili usomi wako uwe na Tija. Usikubali kuugua ugonjwa wa kugawanyika kwani ukianza kauli hizi KUNDI LENU na KUNDI LAO na KUNDI LETU, kesho utaingia katika kansa ya Kugawanyika ambayo hutumiwa na wana siasa MUFLISI ambao hujadili na kutazama mambo kwa Msingi wa Ukabila, Dini, Ukanda n.k. Tutaua nchi na chama chetu, waambie walokupa taarifa Next time wakupe Taarifa za kweli.

Mwisho nikuhakikishie: Sina Kinyongo, Sina Hasira bali sijasahau, Nzega 2015 sina ninayemuandaa Nzega bali nitarudi kugombea mwenyewe.

Kila la kheri Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Afrika.
 
CCM katika vikao vyao vya kuhujumiana ndo waliotuambia..tena na vyeo wakamvua :) Sie wala tulikuwa hatuna habari yakhe! So walaumu hao haooo.

Mkuu Mgala, siku moja baada ya Chiligati kutuaminisha kuwa Hussen Bashe ana asili moja na wanachama wa Alshabab aliibuka Lau Masha ambaye kwa mujibu wa sheria wakati huo alikuwa na mamlaka ya ku-declare uraia wa mtu hapa tz, alisema Bashe ni Mtanzania kwa mujibu wa sheria. Mimi naona si sawa kuendelea kumwita Msomali
 
Ndugu Hussein Mohammed Bashe bado ananipa wasiwasi kuwa hali za mivutano kule Nzega hajazimaliza............naendelea kuamini hivyo? i know politics na nimesomea and i know what i mean by saying that, kwanza naomba ukane hadharani huna jeraha,vita, kisasi kwenye nafsi yako juu ya uchaguzi wa jimbo la Nzega na mtu yeyote. na hili linalozunguka sasa kwamba ukishindwa wewe kurudi jimboni nzega mnamuanda kijana mwenzio SALIM ALLY wa UDSM kuja kuchukua jimbo 2015 je hili ni kweli?.

-umezungumza kuhusu uchaguzi na wanaccm 2015, mbona wewe tayari unakundi lako kwa ajili ya LOWASA AMA NCHIMBI kuwa rais baada ya Jakaya? mbona unaongoza zengwe la kumuingiza JAMAL KASSIM kuwa mwenyekiti wa Taifa UV-CCM na katika hilo wewe ukiwa kama mhasibu wa kutunza pesa za kampeni na kuwagawiya wapiga kura? sijui unapozungumza hayo unadhani unayofanya wewe wananchi hawaoni ama hawaelewi? na hili mnalopanga la mdogo wako IBRAHIM MOHAMED BASHE kuwa Rais wa UDOM mmefikia wapi? maana naona maandalizi ni makali sana, JUA TU KWAMBA KILA MNALOFANYA NA KUNDI LAKO LINAFAHAMIKA ila natakakusema tu huo ndio mwisho wenu wa kufanya haya madudu yoooooooooooye...yoooote so kila mnaloona mnaweza kufanya fanyeni after muda fulani ndio mwisho wa kundi lenu wote kuwalaghai WATANZANIA.

-UVCCM ambayo wewe ni mjumbe mnakazi kubwa sana kuibadilisha, ila nadhani ndio mnakamilisha muda wenu wa umri kikanuni sitegemei mnaweza CHAKACHUA TENA UMRI MRUDI HAPO, malizeni muda wenu waingine VIJANA WANAOWEZA FANYA KAZI SAWA SAWA KWA MASLAHI YA VIJANA WA TANZANIA, naamini nusu yenu mnaondoka 2012, japo mnapiga debe suala la umri liongezeke ili muendelee kukaa hapo UVCCM kwa maslahi ya kundi lenu, enough is enough.

ccm magamba VS ccm mapacha 3.
kila upande unavutia upande wake.
patamu hapa!
 
Amegusia risasi za Arusha , Tarime na sasa Tabora wananchi kupigwa na wengine kuawa ? Maana ni kazi ya CCM hii
Mkuu Lunyungu, hayo hawezi kuyasema maana ni mazito sana na yanawagusa wote walio kwenye chama cha magamba. Hoja yake ya udini na ukabila ameiweka vizuri sasa kazi kwa Mwenyekiti wake na Nape maana ndiyo wenye hoja ya Udini na Ukabila. Bashe kasema, watamuelewa?
 
MATEFU ALIKURUPUKA SIKU ZANYUMA AKITOA MATAMSHI JUU YA VIONGOZ WA CCM NA UVCCM KWAKUWAITA MAFISAD akiwemo shigela,rizy,beno malisa na husen bashe.sikumoja nilimuona library pale mliman akanambia yeye nikijana wa inteligensia,wakati namaliza kidato cha 6 alipata 0 fom four sasa anasoma chet udsm anawadanganya watu anasoma digrii law 2nd yr.kunaushahidi ada yake hapo udsm kalipiwa na bashe,kama matefu si mnafiki na anatumika na wazir mkuu mstaaf kuvuruga uvccm kisa uv ilimpasha ukweli wazir mkuu hyo,matefu uzeeni atakuwa mchawi.alafu anajipanga kugombeaa uenyekit uvccm taifa 2013,anafaa?
 
Back
Top Bottom