Uvccm-------->2012

UVCCM branches zipo ngapi? Mara kuna kundi la akina Nape, Lowassa, Nchimbi nk.
 
Hana lolote huyo ni mmoja kati ya wale vijana wanaotoana roho kuwania uongozi UVCCM,anajiita mh kisa ni diwani wa kata gani sijui dodoma huko! anamiliki ka group kake kule facebook kanaitwa TANURU LA FIKRA,kutwa ni kuwachafua vijana wenzake wenye nia na UVCCM kwenye hilo group na ni mmoja wa wafuasi wa kigwangala,anamkashifu bashe kila siku! anajiita comrade sambala,kifupi anapenda misifa ya kijinga! Im out aje ajitetea nimwage maovu yake hapa,,,
 
hawezi rudi
 
leoleo umeniacha hoi na signature yako tu!! Ya kweli hayo???
 
Hana lolote huyo ni mmoja kati ya wale vijana wanaotoana roho kuwania uongozi UVCCM,anajiita mh kisa ni diwani wa kata gani sijui dodoma huko! anamiliki ka group kake kule facebook kanaitwa TANURU LA FIKRA,kutwa ni kuwachafua vijana wenzake wenye nia na UVCCM kwenye hilo group na ni mmoja wa wafuasi wa kigwangala,anamkashifu bashe kila siku! anajiita comrade sambala,kifupi anapenda misifa ya kijinga! Im out aje ajitetea nimwage maovu yake hapa,,,

hapa nazidi kumuamini mleta thread!
 
unamwamini kwa lipi? hivi unamjua sambala wewe?

Hana lolote huyo ni mmoja kati ya wale vijana wanaotoana roho kuwania uongozi UVCCM,anajiita mh kisa ni diwani wa kata gani sijui dodoma huko! anamiliki ka group kake kule facebook kanaitwa TANURU LA FIKRA,kutwa ni kuwachafua vijana wenzake wenye nia na UVCCM kwenye hilo group na ni mmoja wa wafuasi wa kigwangala,anamkashifu bashe kila siku! anajiita comrade sambala,kifupi anapenda misifa ya kijinga! Im out aje ajitetea nimwage maovu yake hapa,,,

Naona kweli amesepa. Nawe umekuwa na haraka ungeenda naye taratibu; unaona sasa umemkurupusha? Ngoja nijaribu kum PM nione kama atakuja.
 
... Za leo leo hunijui hata siku moja we umekutana na mimi Humu JF...

HAYA MWAGA MAOVU YANGU....
 
Haya wewe sambala unayejiita comrade sambala nje ya JF,na diwani wa kata ya mondo ambaye hutulii katani kwako kutwa uko safarini,kwanza unadanganya watu umezaliwa mwaka 1984 kitu ambacho sio sahihi sababu hasa ni ili ukidhi vigezo vya kugombea uvccm mwaka huu,katika kipindi kifupi cha udiwani wako ushakula pesa za wananchi kiasi cha wewe kuitwa kuzitolea maelezo! Nakuja na picha zako soon,,,
 
Hahahha udaku huo taja mwaka wangu wa kuzaliwa...

Na pia lete doc ya mimi kula pesa za watu...

Na pia toa data zangu naishi wapi nafanya nini na zaidi eleza unavyonifamu.....

Ila umeingia choo cha kike huna ujualo....

Juu yangu zaidi ya umbeya na udaku....
 
.... Za leo hujui hata mimi ni diwani wa wapi kuonyesha kuwa wewe ni mwanaudaku.....
 
Haya wewe sambala unayejiita comrade sambala nje ya JF,na diwani wa kata ya mondo ambaye hutulii katani kwako kutwa uko safarini,kwanza unadanganya watu umezaliwa mwaka 1984 kitu ambacho sio sahihi sababu hasa ni ili ukidhi vigezo vya kugombea uvccm mwaka huu,katika kipindi kifupi cha udiwani wako ushakula pesa za wananchi kiasi cha wewe kuitwa kuzitolea maelezo! Nakuja na picha zako soon,,,

Mkuu Mondo hii ya kwetu Shinyanga au?
 
Sambala ana tabia za ki Tuntemeke

Duh ina maana Zaleoleo naye kasepa! Nitakuwa napitia hii thread baada ya siku mbili. Naona hapa kuna Guerrilla war. Mtu anakuja anapiga anakimbia anaenda kujificha. Kivita hii inaweza kuchukua miaka na mikaka!
 
Back
Top Bottom