Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,287
- 10,842
Huu uvamizi ulipangwa!!!! Amini usiamini!!! Tujiulize huyu Kimaro alinunua hilo shamba mwaka gani na kwa bei ya shilingi ngapi kwa ekari moja??? Tusipende kuwa mashabiki!!! Naamini kabla Kimaro hajanunua shamba hilo, kulikuwa na mmiliki wa awali ambaye pengine alikuwa ni Mmeru??? Je sasa huyu mmiliki alilipataje shamba hilo?? Na kama alilipata kisheria ila si kwa sheria halali (kitendawili) je utaratibu ulikuwaje?? Au kama lilikuwa ni estate ya serikali basi atakuwa alilipata kwa tender?? Mbona hatujavamia Kiwira iliyouzwa kwa bei ya kutupwa??? Nakumbuka hapo nyuma nilishaandika kuwa kuna wabunge takribani 10 wanatafutwa kwa namna yoyote na mafisadi, na Kimaro ni mmowajawapo?? Kuna mipango kabambe ya kumwangusha 2010 asipate hata kupitishwa kama jina la mgombea. 2010 siyo mbali, mipango imeshaanza??
Kwa taarifa ndogo ni kuwa EL ni swahiba wa mafisadi wengi, mkubwa akiwa RA. Kimaro ni adui mmojawapo wa Mafisadi, akiwemo EL na RA. Kwani EL anatokea wapi. hapo ndiyo ngoma inachezwa, mdundiko wa kiana.
Nataka watanzania tujiulize, ni kwa nini tunakubali kuwa cheap kiasi hiki??? Ni mafisadi wangapi wame own ardhi na rasilimali lakini hawafuatwi? Nilidhani kuwa tungeanzia kwa hawa mafisadi papa kuharibu dhuluma zao ndipo tujijeukie sisi??? Au ndiyo ile ya kusema toa kwanza boriti ndani ya jicho lako ndipo utoea la mwingine, au charity begins at home, au safisha kwanza nyumba yako ili useme kuwa ya mwenzio ni chafu?? Watanzania hapa tunajidanganya?????!!!!! Wanakijiji wale watakuwa walipewa ujirra kidogo tu ili wakubali kufanya maasi!!!! Huu wote ni matokeo ya umaskini uliosababishwa na hawa hawa masisadi, wanatingisha kifimbo wewe maskini huna budi kukicheza.
Tujiulize ni mara ngapi tunaona na kusoma katika vyombo vya habari jinsi ambavyo watanzania katika makazi ya migodi au mashamba makubwa wananyanyasika na hakuna wa kuwasemea?? Tujikumbushe kidogo yanayotokea huko migodini na wale ambao wamenyang'anywa ardhi bila fidia ya maana, kila siku ni mateso tu. Kwa nini basi watanzania maskini hawajaweza kuvamiwa maeneo hayo? Simply, because the owner or shareholder ni mafisadi na fisadi hawezi kujiangamiza mwenyewe kwa kulipa maskini 500 ili wachome moto au kuharibu mali na vitendea kazi.
Siku watanzania tutaamka katika usingizi wa pono wa sasa, tutashangaa sana!!! Tutanyanyua macho, hali tutakayokutana nayo itatutisha na tutarudi usingizini (imagine mtoto anapoamka kwa kushtuka usingizini ananyanyua kichwa halafu anarudi tena kulala). Tumekwisha.