Uvaaji wa magauni mafupi, vimini, kikaptula

Duka likifungwa maana ake hakuna huduma ila ukiliona wazi au hata mlango mmoja upo wazi maana ake huduma ipo,hivyo basi hata km huna mawazo hayo unavaa kwa kupendeza ila tafsiri unaweza kuhudumia mteja......
 
Mtazamo wako tu
 
ef850957e694eff3011b28bbc8382dde.jpg
 
Nafikiri hizo picha mlizotupia ni za wale wasiostahili, hebu tupieni za wanaostahili sasa kuvaa vimini.
 
Huwa nasema sku iktokea nikawa meya wa mji,ntaweka vioo vkubwa sehemu zote wanakopta watu wengi ili wawe wanajtazama,maana unaweza kuta mtu amevaa nguo ,kwanza unaanza kujiuliza huyu mtu anaishi na watu na kajtazama baada ya kutoka nyumban?.........
 
Ila napendaga sana kuona mtoto mwenye vtu vya ukwel(mguu mzur,rangi matata) anaviachia kdogo ili sis wajasiriamali tuvione
 
Kweli inavutia sana kumuona mtoto katupia kimini. hasa umkute yule mjanja... inavutia sana na inaleta hamasa yakuomba urafiki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom