Uume wangu una matatizo wanawake wananikimbia

jamani huyo mwenzunu ameomba ushauri then naona wengine mnatania hembu msaidieni kama inawezekana!!!!
 
... Unajua watu tunachangia kimzahamzaha tu lakini hii ishu inaonekana iko so serious,hebu cheki hiyo mikono tu inavyotisha,ukimwonyesha mtoto wa mwaka mmoja kama alikuwa analia ananyamaza na usiku ataota!

Sasa piga picha kwamba ndo penis iko hivyo pale kwa mbele. Inatisha baab! Hata mwenye nayo utaogopa kuipiga chabo...

Nakumbuka kipindi flan nilifanyiwa op kubwa ya tumbo ( laparatomy) kutokana na utumbo kujifunga. Then nikawekewa colostomy,hiyo ni kama artificial anus,na inawekwa tumboni pembeni kidogo ya kitovu kwa chini. Temea mate chini mkuu! Nilikuwa najiogopa.

Hadi
leo nikikumbuka mwili unasisimka... Nilikuwa kwenye hali hiyo kwa six months,ndo nikafanyiwa op nyingine ya kunirudisha katika hali ya kawaida. Nasikia watu wenye saratani ya utumbo huwekewa njia hiyo for life ( so sad,hujafa hujaumbika).

... Tukirudi kwa mleta mada,hapo dawa ni kuoa tu (kama bado). Nna imani mwanamke utakaemuoa mwanzoni atapata tabu kwani hata stimu zitakuwa zinamkatikia kitandani.
Lakini day after day akiishazoea ataona ki2 cha kawaida tu,mdoli usiong'ata!

...ANGALIZO VITILIGO HAINA DAWA YA KUIONDOA,SANASANA KADRI KIUNGO KINAVYOKUA NAYO INAZIDI KUKUA!

Hapo ndo tatizo la mdau.Wanawake wanamkimbia awaingiaje hadi aweze kutangaza ndoa?
Itabidi auze CV yake mapema kabisaa kabla ya kitu chochote ili mdada ajue.Akija kuona kitu cheupe kama albino wa Penis asistuke.
Sipati picha ndo nakutana na wa hivyo.Nitakimbiaje?

 
Hivi mtu akiomba ushauri jf haya ndo majibu kweli!!?nina wasiwasi na uwezo wa kufikiri wa baadhi ya watu hapa!ambaye anaweza kumpa ushauri huyu kaka afanye hivyo please!so sad!
 
Huo uume hauna matatizo as long as unafanya kazi yake... Hiyo rangi yaweza kutokea popote mkuu, chukulia kama baka jingine kwenye mwili
 
Back
Top Bottom