Uume Wangu Umechubuka Baada ya Ngono

NIlikuwa najaribu kufuatilia uhai wa kijana wetu Nondo Boy, kujua kama bado anaweza kujumuika nasi katika kutupa hatima ya michubuko aliyoipata baada ya tendo hilo la ndoa (hakueleza alilifanya kwa kiknga au lah)... Ila inaonekana amekuwa kimya muda mrefu na katika hili jukwaa ametumika si zaidi ya mara tatu tu na mara ya mwisho ni mwezi wa Machi mwaka wa Jana (2009) alipo "edit" thread yake!.

Kama post zake zinavyojieleza hapa, amekuwa mchangiaji mzuri zaidi kwenye masuala ya mapenzi na mahusiano na sio nyanja nyingine. Kwa hili nampongeza sana na kumwomba arejee barazani kuendelea kutupa uzoefu wake kwenye mambo zaidi ya haya.




clip_image001.gif
6th August 2007, 11:0

NondoBoy [: ilidondokea mdomoni tu,. mimba, inaweze
Kidzogolae,

Mimba hiyo inaweza ikawa sio yako kama huyu mwanamke alifanya ngono nawe siku ambayo ilikua siyo ya hatari. Je, ulimuuliza kuhusu tarehe zake kabla hujafanya nae ngono?
26th July 2008, 02:58 P
Uume Wangu Umechubuka Baada ya Ngono

NondoBoy.
Kuna mwanamke ambae nimeanza mahusiano ya kingono nae jana usiku. Tulikwenda gesti kutenda hilo jambo. Sasa kinachoshangaza ni kwamba kabla ya bao la kwanza uume wangu ulianza kujihisi kama vile umechubuka. Demu mwenyewe alikua mkavu kidogo ukeni, nikajaribu kutemea mate ili alainike lakini baada ya mda mfupi ukavu unarudi pale pale na mimi ndio nazidi kuchubuka. Baada ya bao la kwanza, nilikuta tayari kaloa nilipo ingia mara ya pili. Lakini haikudumu. Ni kama vile huyu demu hana unyevu wake mwenyewe wakati anapojamiiana na mwanaume. Sasa leo, maumivu ya mchubuka yametulia, kwahiyo nahisi sii tatizo la kudumu na wala sii gonjwa la zinaa. Ni mara ya kwanza mimi kufanya ngono na mwanamke ambae haloi ukeni ipasavyo. Je, unaweza kunishauri vipi kuhusu hili tatizo na jinsi ya kulitatua?

Last edited by NondoBoy; 9th March 2009 at 09:01 PM..


[/quote]

Kama yupo angeweza kuja kuvunja ukimya...kwani pengine ametoa maoni ya kupinga umuhimu wa kondomu kwenye dhana nzima ya kuzuia UKIMWI.... Na katika hii Thread yake, emekuwa wazi kwa haya maelezo "Sasa leo, maumivu ya mchubuka yametulia, kwahiyo nahisi sii tatizo la kudumu na wala sii gonjwa la zinaa. Ni mara ya kwanza mimi kufanya ngono na mwanamke ambae haloi ukeni ipasavyo. Je, unaweza kunishauri vipi kuhusu hili tatizo na jinsi ya kulitatua?"


Kwa maana nyingine, ombi lake ni kusaidiwa kutatua tatizo la kumfanya mwanamke alowe wakati wa tendo la kujamiiana na sio kuhusu michubuko aliyoipata. Hajaelezea alikuatana vipi na huyo mwanamke na je, ni wa muda au aliamua wawe marafiki nk.

Sina sababu ya kumhukumu kwa kuruhusu uume wake uchubuke (hajasema kama hakutumia mpir), lakini najua wengi wetu tupo hivyo na tunayoyohubiri hatuyatekelezi tukiwa sirini. Hii inatokana na usiri wa tend la ndoa na hakuna ajuaye kama ulivaa au ulimshauri mwenzio avae Kondomu wakati wa kujamiiana.​

Ukimwi au mimba ndi zinathibitisha iwapo ulitumia au hukutumia Kondomu. Lakini hata ikiwa hivyo, bado wengine utakuta wanazidim kujitetea kuwa "kondomu ilipasuka, au waliambukizwa kwa njia nyingine na sio kujamiiana.......TUCHUKUE TAHADHARI..kama ukifanikiwa mara moja kutopata, jaribu kujiuluza kama utarudi tena kwa staili hiyo hiyo utapona??.​
 
Nondoboy!! hapo ulipoingia mazee sio kabisa. Lakini watu husema kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe..nina imani uko na akili timamu. we endeleza tu kama umeamua kukamua fm sterio ili upate usikivu kamilifu mwake tu. may be ili usichubuke siku nyingine tafuta lubricant inaitwa ky huenda itarahisisha safari yako ya kuukwa ukimwi...Duh! kuna watu wamepinda mbaya..
 
pole sana nondo boy wasikulaumu saaana,nina uhakika asilimia 90% ya hawa wanaohubiri ati hulutumia kondomu na wenyewe hawatumii muda wote kama siyo aslani,tumewahi kufanya utafiti ktk gest house kwa kuwahoji wahudumu na kufuatilia wana sema mara nyingi wateja huja na kuomba kondomu lakini wakiondoka wanapofanya usafi hukuta kondomu zipo kama zilivyokwenda hazijatumika na kuna kila dalili kuwa mechi imechezwa,hivyo kuhubiri kondom si ishu bali ishu ni kutummia ki kweli big up dogo kula kuku kama alivyo kwani pipi ndani ya makaratasi ni tamu? ila angalia taratibu usichubuke mbona lubricant ni nyingi?tena kuna rays ya sh 500/= tumia hiyo
 
au mwanamke akumpenda huyo man thats y ikawa hivyo kukavu coz kama hamna feeling lazima kuwe kukavu
 
Swali la msingi: Ungependa kuzikwa wapi?,namalizia na swali la nyongeza:una madeni?
 
lol, huyu jamaa muhanga kelikweli, labda huyo changudoa ni mke wa mtu, alikuwa na wasiwasi tuuu. Ila Man unatoka Mbagala kuu nini???. nani alikufundisha kutemea mate nyeti za wadada!! duuu!! next time ukijilipua tena, basi mbadilishe aelekee mashariki ya kati, halafu achume mboga we zama chumvini atakojoa tu mtu wangu, ikishindikana zama sodoma kwani si tayari umeshajiandikisha kwenda motoni au unampango wa kuswali tena??
 
Tumpelekee tumpelekee kwenye nyumbaa, kwenye nyumba ya milele!! teh teh sijal maharagwe ya muda mrefu tuachie urithi tu
 
may i say hellow to jamii forum community,i have join the community just now.inanonekana huna uzowefu na masuala ya kujamiiana, mwanamke kama kajaandaliwa nya kutosha kabla ya tendo la kujamiiana mambo kama hayo huweza tokea. U need to prepare food b4u eat it...............;
 
dah kwa hiyo ilikuwakama unasugua ukuta wenye chiping!

unachubuka au ulikuwa na vijipele kaka?
 
may i say hellow to jamii forum community,i have join the community just now.inanonekana huna uzowefu na masuala ya kujamiiana, mwanamke kama kajaandaliwa nya kutosha kabla ya tendo la kujamiiana mambo kama hayo huweza tokea. U need to prepare food b4u eat it...............;


karibu sana kuna ila kuna jukwaa la utambulisho
 
...bwana ametoa bwana atamtwaa. Jina la bwana lihimidiwe.
jana tulikuwa wooooteeeee................ Tukizungumza naaaaaaayeeeeeeeee......... Leo mwenzetu katutooookaaaaaa.............. Kawa mgeni kule juuuuuuuuuu......................
 
lol, huyu jamaa muhanga kelikweli, labda huyo changudoa ni mke wa mtu, alikuwa na wasiwasi tuuu. Ila Man unatoka Mbagala kuu nini???. nani alikufundisha kutemea mate nyeti za wadada!! duuu!! next time ukijilipua tena, basi mbadilishe aelekee mashariki ya kati, halafu achume mboga we zama chumvini atakojoa tu mtu wangu, ikishindikana zama sodoma kwani si tayari umeshajiandikisha kwenda motoni au unampango wa kuswali tena??
Ha ha ha, nimecheaka hadi nahisi mbavu kuuma.... NondoBoy ana hatari sana.
 
Best imani yako siijui ila vyovyote vile huyo mwanamke umemwoa? Kama bado uzinzi ni dhambi na kama ni mkristo kumbuka tuko kwenye kipindi cha Kwaresma. Pili huyo mama mmepima? Tatu hukumwandaa kabla ya tendo lenyewe ndomaana ulikuwa nkama unasugua sufuria kwa mchanga. Nne kama mmoja wenu ameathirika jua kashammegea mwenzake. Yote tisa, kumi jinyime kwa ajili ya ufalme wa mbinguni!
 
Shame on U, kwanza kapime ngoma, una kula kavu siku ya kwanza daymn, yani mzembe kinoma . angalau ungepaka vaselini kopo lote kupunguza mchubuko ingawa haisaidii sana , weweunapaka viji mate vyako, ,tuombe kama havina TB una mambiza na TB ya kizazi huyo mlupo wako.

Kwanza hujui kukamua, na demu hajakupenda, ndio maana hajaloa .
 
Back
Top Bottom