stephot sijui leo wapenda nikupie kahawa ya jion sehem gani. umenikosha sana aisee.Kaka huo mtego kweli,usiombe mola wako jujuu,piga magoti na ikiwezekana funga kabisa ili usishawishike maana huyo ni shetani anakusalandia na akishakuingiza kingi ukala tundi tu umeumia,utaacha mke na wanao wanateseka kisa mapenzi yake ya wiziwizi-mara kanyon...dudu,mara masikio,mara akulilie kisa hujamdo nk.nk.....Just be careful you are under temptation.kama ikiwezekana hayo mapigo anayopiga mpige mkeo utamuona huyo kama kimeo tu.
Aiseee... ni mzuri balaaa asikuambie mtu. Nikizungusha kiti nakutana na mgongo wake.
Anavaa kimini...ananukia vizuri... blauzi yake inabana matiti yake makubwa kiasi kama yanatokea kwa juu... ni chocolate colour.. anapaka mafuta yaani mapaja yanameremetaaaa..
Mbaya zaidi madam bosi amemleta department moja na mimi hivyo kila kitu kikimtatiza kidogo tu anazunguka na kiti alafua anakiendesha mpaka pembeni yangu...imagine jamani anasogea karibu kabisa ananigusa na mapaja yake alafu wakati namwonyesha kitu kwenye monitor anakua kama analean..lalakwa kwa mbele hivi, hivyo ananigusa na manyonyo yake malaini, alafu anaongelea masikioni mwangu.
Nafikiri anaelewa ananitesa maana kila akifanya hivyo huwa natoka jasho alafu nahisi atakua anasikia moyo wangu unavyodunda kwanguvu. Eti lunch mpaka twende naye.. nikiagiza ofisini na yeye anaagiza..nikinyanyuka kama ni lunch time ananiwai nisubiri twende wote.....katika maisha yangu ya ndoa sijawai kupata mtego mbaya kama huu.
Eee mola nisaidie.
Siyo udhaifu , binti anahitaji haki yake!! Apewe bhana.....:wacko:
Inaonekana wewe pia ni mpya kwenye hizi mambo, I wish nikualike ninapopiga mzigo halafu ndio uje tena hapa. Piga kazi jooh achaga mambo za kukodole macho vitu vya watu utan'golewa kucha.
Thanks a lot Kaunga... ugumu unakuja tuko naye kuanzia asubui mpaka jioni... boss kamkabizi kwangu... chochote atakachokuja kuniuliza siwezi ignore maana kakicomplain nitapata shida... mwanzo nilizarau lakini siku zinavyokwenda naona its getting out of hand.... unajua ukweli huwezi kuubadili, utabaki ni ukweli tu.. this girl it HOT!
Kuanzia uvaaji ... manukato... mpaka kuongea.
Kukamega siwezi ila nateseka. Man!
Inaonekana hapo umekwama kabisa na unahitaji neema tu ya Mungu ikuokoe!
Sikia, ijengee akili yako ushindi, usikubali kushawishika kwa njia yoyote. Muone kama Dada yako tu! Linda ndoa yako.
Heh kumbe uko kwenye ndoa!! Mkeo analo, aniways nimependa style yako ya uandishi inavutia kusoma