Uu Mrembo Sana...Simama Tukupige Picha!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,720

Haya ni maisha ya kawaida huko mpakani mwa Sudan na Ethiopia.
Hakuna anayeshangaa kitu hapO...!
Humgusi binti wa mtu hadi uripoti kwenye boma yao na kupata go-ahead ya ukoo!

Binti/Mama wa Kitanzania...hii maneno iko sawa?

Hivi kuna uwezekano hii jamii wakawa wameenda shule yoyote, au kupata exposure nje ya circumference yao, na kisha wabaki rigid na utamaduni wao?
 
watabadilika tu si unaona hapo wengine wameanza kujifunga, nasi tumetoka hukohuko, nakumbuka miaka ileeeee tunasafiri kwa treni pana mahali reli ya kati tulikuta wakinamama wamevaa kaniki tu kiunoni vifua wazi,
 
and u r doing them a big favor mkuu ya kusambaza picha ya msichana wa watu uchi!? i though ulikuwa unakaripia hii kitu....kwanini usimsitiri basi kaa kweli imeku touch kiasi hicho?!
 
and u r doing them a big favor mkuu ya kusambaza picha ya msichana wa watu uchi!? i though ulikuwa unakaripia hii kitu....kwanini usimsitiri basi kaa kweli imeku touch kiasi hicho?!
Broda...,
1.Siisambazi MIMI, tayari iko mtandaoni...
2.Nikaripie utamaduni wa watu, am I mad?...wewe utamaduni wako ukikemewa utafurahi?...unless kama sijakuelewa sawa!
3.Juu ya kumsetiri, labda ungesema kuisetiri picha, ambapo pia sioni mantiki, maana huko aliko ataendelea kuwa vile alivyo, while mimi na'deal na picha yake..what a waffle!
 
Haya ni maisha ya kawaida huko mpakani mwa Sudan na Ethiopia.
Hakuna anayeshangaa kitu hapO...!
Humgusi binti wa mtu hadi uripoti kwenye boma yao na kupata go-ahead ya ukoo!

Binti/Mama wa Kitanzania...hii maneno iko sawa?

Hivi kuna uwezekano hii jamii wakawa wameenda shule yoyote, au kupata exposure nje ya circumference yao, na kisha wabaki rigid na utamaduni wao?

Namuona muthungu kwa mbali akiwa anapiga hodi kwenye boma
 
pala jimmy........huko aliko angeendelea kukaa uchi, na ungetupa maelezo yangejitosheleza.....kuliko kumuweka mtoto mdogo wazi kihivyo.

hata kama huko kwao anegeendelea kuwa hivyo alivyo, lakini macho ya wengi hapa Jf yalikuwa hayajamuona na wewe ndo umeyakaribisha. besides huna uhakika kama huko kwao bado yuko hivyo.

pata picha kama huyo ni ndugu yako (she might be somebody's lil sister pia ambae anachukia kuwa mdogo wake a minor yuko hivyo)

nilijua wewe ni muumini mzuri wa neno la mungu, na nilizani kuwa neno hilo linataka watu wajistiri ........but maybe its just me
 
pala jimmy........huko aliko angeendelea kukaa uchi, na ungetupa maelezo yangejitosheleza.....kuliko kumuweka mtoto mdogo wazi kihivyo. hata kama huko kwao anegeendelea kuwa hivyo alivyo, lakini macho ya wengi hapa Jf yalikuwa hayajamuona na wewe ndo umeyakaribisha. besides huna uhakika kama huko kwao bado yuko hivyo. pata picha kama huyo ni ndugu yako (she might be somebody's lil sister pia ambae anachukia kuwa mdogo wake a minor yuko hivyo) nilijua wewe ni muumini mzuri wa neno la mungu, na nilizani kuwa neno hilo linataka watu wajistiri ........but maybe its just me
Maneno yaliyojaa busara na hekima....................
 
pala jimmy........huko aliko angeendelea kukaa uchi, na ungetupa maelezo yangejitosheleza.....kuliko kumuweka mtoto mdogo wazi kihivyo.

hata kama huko kwao anegeendelea kuwa hivyo alivyo, lakini macho ya wengi hapa Jf yalikuwa hayajamuona na wewe ndo umeyakaribisha. besides huna uhakika kama huko kwao bado yuko hivyo.

pata picha kama huyo ni ndugu yako (she might be somebody's lil sister pia ambae anachukia kuwa mdogo wake a minor yuko hivyo)

nilijua wewe ni muumini mzuri wa neno la mungu, na nilizani kuwa neno hilo linataka watu wajistiri ........but maybe its just me

JF! angesema kuwa kuna jamii wanaishi nus uchi mpaka leo, usingetaka uthibitisho??

The way I see, I dont feel any emotion, kwani nilipomwona tu mind yangu ikajitune, kuwa is normal kwao, na mimi nimesha adapt na kuona is normal kwangu.

Just imagine GAIJIN unaenda hilo eneo leo hii, utafanyaje? maana hutaweza kutamani kila mwanamke, wenyewe hawana mpango kuwa wanaishi uchi, you will just adapt mazingira na kuishi kwa amani tu.

All in all, dhambi ya PakaJimmy inakuwa dhambi tu kama intention yake ilikuwa kututamanisha! otherwise lets live the life hamna tatizo kujua watu wengine wanaishi vipi.
 
Nadhani tamaduni nyingi za kiafrika zilikuwa namna hiyo, lakini zilikuja kubadilika baadae kadri tamaduni za nje zilivyoenea kwa kasi. Nao hawa watabadilika tu!
 
Na hawa Jeeee?

8116_1215345418668_1079806353_30674648_3200814_n.jpg
 
nimependa dread za yule mtoto pale juuu!

Dreads za ukweli, ndo hizi ambazo huku mjini wadada wanamaliza siku mbili kwa mmasai kuzisuka!..kumbe wenzetu hao kwao ni za kuchungi\a ng'ombe...huh!
 
hawa wote walitoka europe kwenda kugombea kuolewa na mswati kasoro huyo wa kwanza kushoto,anawashangaa wenzie.full used

Sasa Mkuu kama walitoka Europe, wangewezea vigezo vya kuwa Bikra kweli?
Mi naona huyo unayemwona fully used ndo atakuwa full-charge!!:angry:
 
pala jimmy........huko aliko angeendelea kukaa uchi, na ungetupa maelezo yangejitosheleza.....kuliko kumuweka mtoto mdogo wazi kihivyo.

hata kama huko kwao anegeendelea kuwa hivyo alivyo, lakini macho ya wengi hapa Jf yalikuwa hayajamuona na wewe ndo umeyakaribisha. besides huna uhakika kama huko kwao bado yuko hivyo.

pata picha kama huyo ni ndugu yako (she might be somebody's lil sister pia ambae anachukia kuwa mdogo wake a minor yuko hivyo)

nilijua wewe ni muumini mzuri wa neno la mungu, na nilizani kuwa neno hilo linataka watu wajistiri ........but maybe its just me

aaaaah tuacheni kuwa waongo huko ni ni sudan je ulishawaona bint wa kibarbaig ndani ya nchi hii????? Kama mbando kawatafute maskani kwao ndo utajiju kama haitoshi watdmbelee watindiga ujue maisha yao halisi then njoo mwaga lawama zako za bint kuanikwa hapa jamvini.
 
tamaduni na mwingiliano mpya wa jamii zingine utawabadilisha tu
na nidhamu/heshima kwao iko juu sana kutokana na tamaduni yao lakini,na si ajabu kuwa ivo kwani ndio tamaduni zetu za asili na asili yetu sema tu uzungu/uarabu ulipotuingia tukabadilika,,,na ndio maana wengine humu eti wanaona ni udhalilishaji khaaa basi hamjua asili nyie!!ni jambo la kheri tu kwa utamaduni wao ila tunaweza wafunza taratibu jinsi ya kufunika aseets zao,ingawa sio LAZIMA tuwabadilishe au kuwaona hawafai,hapana!
na hii picha mbona ya kawaida tu???ngapi ww unaziangalia za vituko?
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom