Utundu wa Google

Kifuniko

Member
May 20, 2011
97
17
Kuna mtu anaweza kunipa msaada namna ya kujiondoa kwenye google search result let say kama unatitwa hamisi juma mtu akiandika asipate results zenye jina lako
 
Katika hali ya kawaida nafikiri haiwezekani.

kama kuna information yako ambayo hutaki ionekane angalia inaletwa na website gani, kama ni social network kama FB unaweza badilisha information zako eg jina.

Otherwise kama unaweza tengeneza kitu cha kudetect pale jina lako linapo kuwa searched google na ku-redirect google results then sending filtered results kazi kwako..
 
inawezekana ila si sayari hii kwa muda huu (pun intended)
 
Haiwezekani kwa sababu data zako ziko stored kwenye server za hiyo sehemu data zilipo. Unless uongee na hao watu. Let's say uki google "Givenality" watakuletea results nyingi, moja ikiwa ni kutaka JamiiForums ikiwa na link ya profile page yangu. Ninachoweza kufanya ni kuongea na admins wa JamiiForums watoe details zangu kwenye database ili nisiwepo kwenye SEO Details za site. Hope nimeeleweka.
 
Tukiwaambia muache uhalifu mnajifanya wajuaji. Unaona sasa matokeo yake?! Data haziondoki ng'oooo! Labda uende mahakamani ukabadili jina.
 
inawezekana, lakini inategemea unataka kuficha jina lako linalopatikana wapi. Kama ni facebook yes -kwenye privacy settings unaweza ku-disable google au search engine zingine zisikupate. lakini kama ni matokeo yako ya NECTA ...kwa mfano....aisee hapo labda uongee na hao wa BMT, i mean wenye website inayo-host file lenye jina lako.
 
Haiwezekani.
Haiwezekani kwa sababu data zako ziko stored kwenye server za hiyo sehemu data zilipo. Unless uongee na hao watu. Let's say uki google "Givenality" watakuletea results nyingi, moja ikiwa ni kutaka JamiiForums ikiwa na link ya profile page yangu. Ninachoweza kufanya ni kuongea na admins wa JamiiForums watoe details zangu kwenye database ili nisiwepo kwenye SEO Details za site. Hope nimeeleweka.

Inawezekana sana, hapa hatuongelei kufuta data bali kuziondoa machoni pa watu wanapo search kwenye google, kitu usicho kiona ni sawa na hakipo. Ni kama vile unavyo delete file kwenye hard drive, data haziondoki ila haziwi linked na jina la file.

Kuna mtu anaweza kunipa msaada namna ya kujiondoa kwenye google search result let say kama unatitwa hamisi juma mtu akiandika asipate results zenye jina lako
Kuondoa jina lako online unafanya kitu kinaitwa SEO (search engine optimization) hapa unachokifanya ni ku-manipulate serach engine result pages (SERP) au more specifically you do something called spam indexing.

Kuna njia nyingi za kufanya hivyi, mojawapo na rahisi kabisa ni ku-optimise jina lako na kitu kingine ambacho siyo popular (in google's eye so to speak). Mfano kama jina lako ni "Hamisi Juma" unaweza ku-optimize hilo jina na "Shule ya Tambaza" (neno hili lina results chini ya 3000 kwahiyo ni rahisi ku-manipulate SERP).

Kwa hiyo mtu aki-search "Hamisi Juma" results za "shule ya Tambaza zitatokea"

Sasa fungua notepad, halafu scrape contents zozote zile za kiswahili, tengeneza page nyingi (kama 20 hivi) zinazo ongelea chochote kile. Hapa si lazima contents ziwe na uhusiano na neno "Shule ya Tambaza" unaweza ku-scrape content hata hapa jamii forums halafu uka sprinkle neno "Shule ya Tambaza" na "Hamisi Juma" hapa na pale.

Ukisha kuwa na contents zakutosha unazipost kwenye authority domains ambazo ni free hosted (blogs) kama wordpress, weebly, blogspot, squidoo, hubpages, tumbr, fan page (facebook),

Baada ya ku-publish pages zako kwenye blogs, tengeneza links ambazo kazi yake ni ku-link neno "Hamisi Juma" na hizo blogs. Njia rahisi ya kufanya hivi ni ku "comment spam", hapa unacomment kwenye post za blogs mbali mbali. Sehemu ya jina unaweka "Hamisi Juma", sehemu ya website unaweka moja ya blogs zako ulizo tengeneza na kwenye email weka email yoyote ile. kama hapa chini.

hamisi juma.jpg

Kwahiyo ukishafanya hivyo baada ya muda Search engines zita analyse contents kwa kutumia kitu kinaitwa latent semantic analysis, na zitalazimika (manipulated) kuelewa kuwa neno "Hamisi Juma" na neno "Shule ya Tambaza" vinauhusiano.
 
Nimeipenda Trick yako, safi sana. Ila hii njia still haita futa data, itakachofanya ni kusogeza results halisi za Hamisi Juma kwenye page results za mbele zaidi. Manipulated results za Hamis Juma zitaoneka mwanzo wa page, say page 1 & 2, then results halisi still zitakuwa zinatokea say page 3 & 4.
 
Ni kweli kabisa na tests zilishafanywa kuonesha kitu tunachokiita "the golden triangle" kwenye SERP kinachoonesha ni wapi watu huclick kwenye SERP. Ukweli ni kuwa 98% ya users huishia page 1 na kama hawakuridhia na results hubadilisha keyword. Utaona kwenye hiyo heat map ya page ya kwanza clicks zinapungua kadiri unapokwenda chini sembuse page ya pili.

heat-map.jpg
 
Back
Top Bottom