utundu mpya

haya mautundu mnayoyaleta humu sio! ndo mana hata hata mafisadi nao wanakuna vichwa nao wato mautundu yao kuibia wananchi!
 
Unafikiri TCRA tumelala, ajaribu aone.

TCRA ndio nani? Watu tunaibiwana haya makampuni ya simu Daily,utakuta mtua kaweka salio ila baada ya mda lina yeyuka bila hata kututumia wengine wanachajiwa caller tune wakat hawajaomba na madudu mengine kadha wakadha mbona hatuwaoni wakitetea walaji?? au hao TCRA ni kwaajili ya hawa wados?
 
jamaa anasubiri msululu uwe mrefu kama tunajisajili NIDA

user-online.png
Never give up

  • ndo id name yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom