Utumishi wamwaga mamia ya kazi...

You are very right. Mi sehemu niliyokua nafanya kazi nilipata bila kumjua mtu na tulikuwa wemgi Sana.

I believe Kama you are confident na pia unajua kujieleza vizuri unapata tu kazi.

Frankly speaking nimeapply kazi za utumishi mara mbili tu...Mara ya kwanza mwaka juzi na Mara ya pili last month ndio nasubir shortlisting.

Was very negative until one of my friends alipopaya bila hata ya kushikwa mkono.

Me huo upositive pia nilianza upata since na join chuo nilipoona bro wangu kapata then namaliza mwingine nae akapata hukohuko utumishi pia me mwenyewe nilivyo pata kazi soon after university b4 graduation bila hata kumjua mtu na nilivyowaona friends of mine wakipata taasisi nyingine kama TRA,PWC n.k bila kumjua mtu. Its possible if you are positive hata kama hayo yapo but tusiassume kuwa 100% na kutothubutu na kujiamini wenyewe.
 
Ile wizara ndi inaongoza kwa semina na safari ili wapate posho hadi hospitali za wilaya na mikoa zilizo chini ya halmashaur safari nje nje yani kule nahisi hata messenger anatrip za per diem lol!

Aisee ngoja nisali sana nipate hyo kazi. Natamani Sana nipate serikalini. Dah nitafurahi sana nikipata
 
Me huo upositive pia nilianza upata since na join chuo nilipoona bro wangu kapata then namaliza mwingine nae akapata hukohuko utumishi pia me mwenyewe nilivyo pata kazi soon after university b4 graduation bila hata kumjua mtu na nilivyowaona friends of mine wakipata taasisi nyingine kama TRA,PWC n.k bila kumjua mtu. Its possible if you are positive hata kama hayo yapo but tusiassume kuwa 100% na kutothubutu na kujiamini wenyewe.

You're right qn of sheba tatizo pia watu wanakatisha wenzio tamaa Sana sasa Kama mtu huwezi pambanua then you are finished..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom