Utumishi wameita bila kuwa na cheti

SYENDEKE

Senior Member
Jul 18, 2011
169
26
Habari wan jf kuna ndugu yangu aliomba utumishi akatumia transcripts ameitwa kwenye interview bila hata kujali kile kipengele cha transcripts is totaly prohibited lakini kapata nafasi uzuri tayali vyetu vyao vimetoka so hamna shida.nathani hiki kipengele huwa hawacheck mnaweza tumemia transcripts wakija kutaka cheti vinakuwa vimetoka tayali gud luck
 
Atafika kwa Interview ila mlangano wanavyokagua vyeti watamrudisha tu....kuitwa interview wanakuita vizuri tena hadi kwenye news paper waweka jina lako,siku ya interview wanakurudisha iyo ni kawaida yao bwana.
 
muache aende wala asiogope!!! me ilinitokea issue kama hiyo mwaka 2010, secretariate ya ajira waliniita lakini sikuwa na cheti bali transcript. ilinihudhunisha sana na ilinibidi niombe ushauri kwa watu mbalimbali wengine walinambia bora nisiende maana sitaruhusiwa kuhudhuria interview au wanaweza kuniruhusu interview lakini ajira nisahau!! Ila kuna mwalimu wangu wa chuo alinipa moyo sana aliponambia wewe nenda wakakurudishe wenyewe badala ya kujirudisha wewe binafsi, zaidi ya yote akasema transcript kwa Muajili muelewa ni Nzuri maana inaonyesha actual score katika kila soma alilofanya Muhusika. Kweli nilienda na transcript zangu hawakunirudisha nikafanyiwa interview baadae nikawa miongoni wa walioitwa kazini na mpaka sasa nipo kazini.
Cha muhimu ukipata kazi fanya juhudi uchukue cheti chako mapema ili utakapoitwa kuripot kazini uwe nacho!
nakutakia Interview njema..!!!!!!!
 
uwa hawako makini ata usipoweka vyeti utaitwa tu kwanza wanaita kiushahidi tu mana wapo wenye nafasi zao tiali
 
muache aende wala asiogope!!! me ilinitokea issue kama hiyo mwaka 2010, secretariate ya ajira waliniita lakini sikuwa na cheti bali transcript. ilinihudhunisha sana na ilinibidi niombe ushauri kwa watu mbalimbali wengine walinambia bora nisiende maana sitaruhusiwa kuhudhuria interview au wanaweza kuniruhusu interview lakini ajira nisahau!! Ila kuna mwalimu wangu wa chuo alinipa moyo sana aliponambia wewe nenda wakakurudishe wenyewe badala ya kujirudisha wewe binafsi, zaidi ya yote akasema transcript kwa Muajili muelewa ni Nzuri maana inaonyesha actual score katika kila soma alilofanya Muhusika. Kweli nilienda na transcript zangu hawakunirudisha nikafanyiwa interview baadae nikawa miongoni wa walioitwa kazini na mpaka sasa nipo kazini.
Cha muhimu ukipata kazi fanya juhudi uchukue cheti chako mapema ili utakapoitwa kuripot kazini uwe nacho!
nakutakia Interview njema..!!!!!!!

That is double standard & unfair wengine wanaacha kuapply kwa kukosa vyeti na wengine wanaaply bila kukidhi vigezo na wanaajiriwa, what a stupid govenment is this?
 
Atafika kwa Interview ila mlangano wanavyokagua vyeti watamrudisha tu....kuitwa interview wanakuita vizuri tena hadi kwenye news paper waweka jina lako,siku ya interview wanakurudisha iyo ni kawaida yao bwana.
kwa ufupi hii inaweza ikawa na ujanja wa kupunguza ushindani ili kama kuna mtu wao apite kiulaini, STUKA mpwa!.
yani kama wameita watu 5, na wakijua kwamba watu 2 kati yao wana transcripts tu then ni dhahiri shairi kwamba mchuano utakua ni wa watu 3 badala ya 5 kama kuna mtu wao ana kimemo anapita kiulainiiii!,
hilo ni BOYA, stuka.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom