Utumishi wa umma kada za afya ni

Seto

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
953
53
Kutokana na nayoona niwepo mazingira ya hospitali nimeona kuwa mwajiriwa wa serikali katika kada za afya tena akiwa wale wa ngazi za chini wanapata haya:-

1. Wanasiasa na watumishi wa serikali wa ngazi za juu huwakandamiza na kuwashurutisha LENGO IKIWA WAO WONEKANE WASAFI NA KUBEMBELEZA KURA KWA WANANCHI.

2. Wananchi wanaohudumiwa nao huwashutumu kwa kutopata huduma bora ikiwa hata hivyo vifaa havipo.

3. Waandishi wa habari hutafuta visa na vyengine hata vya kutunga ili WAUZE MAGAZETI YAO.
 
You have to stand and fight back!kama vifaa au dawa hakuna mseme.tatizo lenu mnaogopa kusema na mnakubali kulimbikiziwa makosa.lakini ishu ya rushwa haihusiani na wanasiasa.
 
Back
Top Bottom