Utumishi leo trh 20 sept wameita wengine kwenye usaili utakaofanyika 25-27 sept 2012

majorbuyoya

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
1,828
564
Natanguliza salamu!. Nimeona tangazo katika website ya utumishi linalohusu watu kuitwa kwenye usaili utakaofanyika tarehe 25-27 September 2012. Walioitwa ni wale walioomba kazi zilizotangazwa COSTECH. Wakuu mlioomba jaribuni kupitia pitia kule muangalie majina yenu kama yameng'ara.
 

  1. [*=4] Photo-0287.jpg znyenza@gmail.com
 
Back
Top Bottom