utumiaji wa madawa ya kulevya na athari zake

vitongoji

New Member
May 26, 2012
3
0
juhudi kubwa zimekuwa zikifanywa ili kupunguza watumiaji wa madawa ya kulevywa kwa dhamira ya kuwa na taifa la watu wajasiamali. jee unasemaje kuhusu tatizo hilo na vikundi vya ulezi huo katika kupiga vita, vinasaidiaje?
 
sio mahala pake!
 
usishangae mjomba, huyu jamaa anaonekana ni mgeni humu jukwaani, labda atakuwa kafanikiwa kujiunga jana JAMII FORUMS
 
Hiyo nayo ni nafasi ya kazi au tenda, sielewi elewi ati!
 
mkuu thx for information, deadline lini? then sijaona E-mail address sa tuna apply vipi? qualifications? position descriptions? unamtu tu CV au? dah kweli tembea uone.
 
Back
Top Bottom