The Quonquerer
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 777
- 111
Utulivu na wema wetu vinageuka kiama chetu
Kama hiyo haitoshi, Wakikuyu na Wajaluo yaani kina N nao wanakuja kwa kasi! Hata Wanyarwanda na Warundi..wote msafara ni mmoja, kuelekea Bongo! Tunasema hatutaki..tukatae! Hatuwahitaji! Tanzania ni ya Watanzania! Ina wenyewe! We need to flush them out before it's too late! Ujirani mwema unatosha!
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Na Prudence Karugendo
WATANZANIA tumekuwa watulivu muda wote.
Pamoja na utulivu huo unaotufanya tuishi kama watoto wa familia moja tukiwa hatubaguani kwa misingi ya ukabila, nchi yetu ndiyo inaongoza kwa wingi wa makabila barani Afrika. Pia sisi ni watu tusiojua kuwabagua wageni. Wageni wanaipenda Tanzania si kwa uzuri wa mandhari na utajiri wake tu bali pia kwa wema wa watu wake ambao lakini hao wageni wameishauona kama ujinga.
Ni kwamba kitu chochote kinapokithiri huleta picha isiyopendeza, wema wetu ni kama umekithiri pengine ndiyo maana wageni wametokea kuuona wema huo kama ujinga. Hawatamki hadharani kuwa Watanzania ni wajinga ila matendo yao yanatamka bila kificho.
Inapofikia mtu anakufanyia ushenzi wa wazi na wa makusudi kabisa, tena nyumbani kwako, lakini wewe ukiwa unajitahidi kwa nguvu zako zote kumuonyesha uungwana yeye atakachokuwa anakiona kwako si uungwana wako bali ujinga wako.
Na ukishakuwa mjinga mambo yako yote yataenda kiujingaujinga, na ni nadra sana kufanikisha jambo lolote katika hali ya ujingaujinga. Kwahiyo tunaposhangaa ni kwa nini mambo yetu hayafanikiwi, kwa nini tunakuwa masikini wakati nchi yetu imejaa utajiri unaonuka, tusisahau kulitizama hilo badala ya kuwaachia waganga wa kienyeji watutafutie sababu zao za kughushi ili kujiimarishia biashara zao.
Ni kwamba wema wetu umegeuka laana kwetu. Nasema laana kwa vile unatudhohofisha sisi huku ukiwanufaisha wageni. Wageni, hasa wenye ngozi nyeupe, wamejinufaisha sana na hulka hiyo ya Watanzania. Hebu tazama wageni hasa wa kutoka nje ya Afrika wanavyositarehe kwenye nchi yetu isiyo na ubaguzi. Wanapata kila haki wanayoipata wenyeji ila wao wakiwa na fungu la ziada kama haki ya ugeni wao. Katika dunia nzima fungu hilo liko Tanzania peke yake.
Kwingineko mwenyeji ndiye anayepaswa kuwa na fungu la ziada. Hapa kwetu hali imetengenezwa mahsusi kuwakumbatia wageni bila kujali kama inawatelekeza wenyeji ilmradi tu kuendeleza mwonekano wa wema wetu!
Sasa imefikia wakati wa hao wageni kutufanyia, sisi wenyeji, ubaguzi ndani ya nchi yetu huku sisi tukihimizana kutowasema lolote ili tusije tukaonekana ni wabaguzi wa rangi! Kama hiyo si laana ni kitu gani? Mfano kuna shule nyingi hapa nchini ambazo ni kwa ajiri ya watoto wa Kihindi pekee.
Nadhani shule hizo zimesajiliwa na serikali inazitambua. Lakini inakatazwa kabisa kuzinyooshea kidole, maana eti kwa kufanya hivyo ni kuamsha hisia za ubaguzi wa rangi. Wao wana haki ya kutubagua na sisi tuna haki ya kuuheshimu ubaguzi huo wanaotufanyia kwa kujifanya hatuuoni japo tunaelewa hatuwezi kujichanganya nao.
Tuseme mimi nikianzisha shule na kusema ni ya Wahaya watupu nadhani itafungiwa siku hiyohiyo, au nikifungua shule yenye viashirio vya kwamba watoto wanaotakiwa ni weusi tu lazima itapigwa vita kwa kisingizio cha kwamba inaleta ubaguzi wa rangi.
Vile vile nikiuliza kwamba mbona kuna shule fulani wanasoma Wahindi watupu bilashaka nitakemewa mimi muuliza swali kwamba nauliza swali lenye dalili za ubaguzi wa rangi. Lakini ukweli wa kwamba zipo shule za aina hiyo hauonekani kuleta mashaka ya kwamba kuna ubaguzi wa rangi unaoendelea.
Sisi kwetu ubaguzi wa rangi ni pale mwenye ngozi nyeusi anapomsema mwenye ngozi nyeupe, ila mwenye ngozi nyeupe ana haki ya kufanya lolote dhidi ya ngozi nyeusi bila suala la ubaguzi wa rangi kutiliwa maanani.
Tumeshasema hatutabagua hata kama tutabaguliwa. Kwahiyo kubaguliwa hata ndani ya ardhi yetu kwetu sawa ilmradi sisi hatuonyeshi ubaguzi! Nasema huu ni ugonjwa ambao wataalamu wa magonjwa ya akili inabidi waufanyie kazi.
Ni vizuri sisi hatubagui mtu yeyote kulingana na rangi yake japo sisi tunakumbana nao ubaguzi wa aina hiyo wakati mwingine tunapotembelea nchi za watu. Lakini kukubali kubaguliwa na wageni ndani ya ardhi yetu ni laana ambayo hata Mwenyezi Mungu hawezi kuisamehe.
Hebu tuangalie, tukiziondoa nchi zilizovamiwa kama ilivyokuwa Afrika Kusini na sasa Marekani na nyingine za aina hiyo, ni nchi gani nyingine ambayo mgeni anaruhusiwa kuwa mtunga sheria kwa maana ya kuwa mbunge? Tutofautishe na Uingereza na pengine Ufaransa nchi ambazo kutokana na kupenda kuvamia nchi nyingine na kutawala kuliwafanya wale waliokuwa wanatawaliwa kujiona nao wana asili ya nchi zile zilizowatawala. Kwa hiyo, siwezi kushangaa kukuta watu wasio na asili ya kweli ya nchi zile wakiwa watunga sheria wa nchi zile. Hayo yatakuwa ni makosa ya nchi zenyewe yaliyo katika historia.
Vikwazo katika njia yetu ya kuelekea kwenye maendeleo ni vingi, kimojawapo ni hiki cha kukosa kuwa na uchungu na kilicho chetu. Mara nyingi inasemwa mifano inayoonyesha kuwa sisi Tanzania hatupigi hatua ya maendeleo tukilinganishwa na nchi kama India, China, Korea na kadhalika.
Ni vigumu kabisa kujifananisha na nchi zile kwa sababu nchi zile zina wenyewe. India ni ya Wahindi, China ni ya Wachina na Korea ni ya Wakorea. Ni vigumu kukuta watu wasiokuwa wa asili ya nchi zile wakiwa ni sehemu ya wapanga mikakati ya maendeleo ya nchi husika.
Haijatokea ukawepo uaminifu kwa watu wenye asili ya nje ya nchi zile kukabidhiwa majukumu nyeti kama hayo ya kuziletea maendeleo. Tofauti na hao sisi tunawaamini sana watu wenye asili ya nje, wamo kwenye Bunge letu, serikalini na hata kwenye sehemu nyingine nyeti. Kisha tunaanza kutafuta mchawi anayeyafanya maendeleo yetu yakagota.
Kwa nini hatujiulizi kwamba iweje India, Korea au China, nchi zinazopangiwa mikakati ya maendeleo na watu wenye asili ya nchi zile ziwe na kasi sawa ya maendeleo na Tanzania inayopangiwa mikakati ya maendeleo na watu wenye asili ya kwingine? Mfano inapotokea waziri wa fedha wa Tanzania ni Mhindi wakati waziri wa fedha wa India naye ni Mhindi tunatarajia nini?
Mhindi wa kwetu aiwezeshe nchi ya ugenini kuwa na uchumi mzuri kuuzidi ule wa nyumbani kwao unaoongozwa na ndugu yake? Hivi kweli hilo nalo linahitaji shahada ya chuo kikuu ili kuweza kulitafakari na kulijua undani wake?
Sisemi kuwa tuwabague hawa wageni, hapana, ila nasema tuwe waangalifu ili wema wetu usiendelee kugeuka kuwa ujinga. Tujenge tabia ya uzalendo ulio na miiko, tuseme ni mwiko kwa kitu fulani kuendeshwa kwa namna fulani. Tusiiache nchi yetu kuwa kama nyumba ya wageni (guest house) ambayo kila mwenye hela anakuwa mwenyeji.
Nchi yetu tuifanye kama nyumba iliyo na wenyewe, nyumba ambayo hata kama wageni wanaruhusiwa kuingia lakini mwisho wao ni sebuleni. Nyumba yenye hadhi yake daima huwa vile.
Mfano mzuri ni wa India. Wahindi wawe na matatizo yao wao wanaamini wenye jukumu la kuyashughulikia ni wao na si mtu mwingine kutoka nje ya India. Nchini mle kuna familia iliyoheshimiwa na kupendwa sana na Wahindi, familia ya Gandhi. Alipouawa Rajiv Gandhi, aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa nchi ile, wanachama wa chama chake cha Congress wakampendekeza mke wake, Sonia Gandhi, awe kiongozi wao. Chama chao kiliposhinda Uchaguzi Mkuu mwanamke yule alitahadharishwa na waliomtakia mema kutoukubali Uwaziri Mkuu kwa sababu ya asili yake ya Italia ambayo si ajabu ikawa ndiyo chanzo cha kifo cha mume wake aliyependwa sana na Wahindi. Asili hiyo ya nje ni matusi sana kwa Wahindi katika nafasi kama ile ya Waziri Mkuu. Wanajali kilicho chao, na ni rahisi wao kupiga hatua ya maendeleo.
Kwetu hilo la asili ya nje halionekani kuwa tatizo. Na katika hali ilivyo ni lazima siku moja tutakuja kupata rais Mhindi au Mwarabu. Na ikumbukwe watu wenye ngozi nyeupe wamebarikiwa kitu kimoja, kutopasahau kwao. Hapo ndipo tukae tufikirie jinsi ambavyo Tanzania inayoongozwa na Mhindi inavyoweza kupiga hatuwa sawa ya maendeleo kama India inayoongozwa na Mhindi asilia.
Tukirudi kwenye ubaguzi, sitaki nionekane nabagua na kuwa kama Mandela aliyefungwa kwa karibu miaka 30 kisa eti ni kuhoji uhalali wa ubaguzi aliokuwa anafanyiwa ndani ya ardhi yake.
Katika enzi za ukoloni nchi yetu ilikuwa inatengwa katika matabaka matatu, Uzunguni, Uhindini na Uswahilini. Baada ya uhuru hayo matabaka tuliyafuta, nasi tukakuvamia Uzunguni na hata Uhindini, lakini bila kuwafanyia bughudha yoyote wenzetu hao. Tulitaka kuwaonyesha kuwa binadamu wote ni sawa.
Tukataka tuishi sote bila kubaguana. Lakini cha kushangaza wenzetu Wahindi hilo hawakulitaka. Bado waliendelea kungangania katika ngome zao, Uhindini. Ni kitu gani kinachowafanya wasijichanganye na sisi kama kweli wanajihisi ni Watanzania wenzetu? Bilashaka ni ubaguzi wa rangi.
Nichukue mfano wa Jiji la Dar es salaam ambalo nadhani ndilo lenye idadi kubwa ya Watanzania wenye asili ya Kihindi kuliko sehemu nyingine hapa nchini. Wahindi wote wanakaa sehemu za Uhindini, sijaona aliyejenga sehemu za Uswahilini kama Tabata, Segerea, Kinyerezi, Kisukuru na kwingineko.
Wao muda wote wanakaa mkao wa kuondoka wakiwa wamejibana kwenye nyumba za kupanga za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Pamoja na kwamba wengi wao ni mamilionea hawataki kabisa kujenga nyumba zao za kudumu pengine kwa kuelewa kwamba hapa si kwao na wana kwao.
Tabia hiyo ya ubaguzi waliyo nayo ndugu zetu hao inayoanzia katika kukataa kujichanganya nasi kwenye makazi hadi kufikia kukataa kuoleana nasi ni lazima itufundishe kitu fulani. Siyo tuwaachie kuitamani tu nchi yetu bila kuwatamani watu wake halafu eti tuwaachie wawe wawakilishi wetu bungeni na baadaye kujipenyeza kwenye serikali yetu. Inabidi tujiulize, unawawakilishaje wananchi husiotaka kuishi wala kujichanganya nao?
Mama mmoja wa Kihindi aliyeishi Bukoba kwa karibu maisha yake yote na kuwa kipenzi cha Wahaya wakimwona kama ndugu yao, Mama Kheru, aliishia kufanya kitu kimoja tu kama zawadi na heshima yake kwa Wahaya, kukubali kumpa mtoto wake jina la Kihaya, Kamugisha.
Lakini Wahaya wakaja kushangaa kuona yule mama alipokaribia kufa anaondoka kwenda kufia kwao India. Mtu kwao! Inafaa wenzetu hawa tuishi nao vizuri ila tusikubali kwa wakati huu watufanyie ubaguzi ndani ya ardhi yetu na iwe nongwa sisi tukiwasema kwa uchafu wao huo. Watanzania tusipoangalia wema wetu utageuka sasa kuwa kiama chetu[/FONT]