Utoto kweli noumer!

Mfarisayomtata

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
474
188
Nakumbuka nlipokuwa mdogo enzi hizo nliwahi kukata godoro lakulalia urefu ili nikilala niwe sawa nalo mbona wakubwa wenyewe wakilala wanafika mwisho, icho kipigo nlichopewa na mshua usiombe! WEWE JE UNAKUMBUKA NINI??
 
Sisi tulipokuwa wadogo tulikuwa tunaenda mtoni kuoga na wakubwa, sasa huko mtoni tuliona wakubwa wana nywele kila sehemu (hasa maeneo yenyewe) basi mi na watoto wenzangu si 2kaona kama Mungu katusahau ikatubidi siku moja tuliponyoa nywele tuanze kuzigundisha maeneo yenyewe kwa kutumia Big G, kwa bahati mbaya wakubwa walitukuta, kipondo tulichopokea hata sitaki kukumbuka, ama kweli utoto una mambo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom