Utoaji tuzo kwa wanamichezo live on itv

Graca

JF-Expert Member
Apr 24, 2011
471
152
Hi jf members,naombeni wale wanaofuatilia utoaji tuzo itv wani update plz.
Thanks.
 
Hi jf members,naombeni wale wanaofuatilia utoaji tuzo itv wani update plz.
Thanks.
Yah, na mimi nimefungue thread kama hiyo ila sio mbaya.....
Hapa mgeni rasmi ni mzee Mkapa na Dr Bilal.... kuna hotuba inatolewa na mwakilishi wa TASWA, ameeleza historia ya chama, na ya Tuzo hizo!
Twende pamoja
 
yah, na mimi nimefungue thread kama hiyo ila sio mbaya.....
Hapa mgeni rasmi ni mzee mkapa na dr bilal.... Kuna hotuba inatolewa na mwakilishi wa taswa, ameeleza historia ya chama, na ya tuzo hizo!
Twende pamoja

thanks mkuu.
 
Tanesco wameshachukua kilicho chao,up to date plz
 
Wameanza kutoa hizo Tuzo/tunzo, wameanza na riadha Merry Naali amelamba kwa upande wa akina mama alishinda huko canada 2008, wamesoma record yake ni nzuri tu!
Ila huyu Mc ni hovyo tu kwakweli
 
Wameanza kutoa hizo Tuzo/tunzo, wameanza na riadha Merry Naali amelamba kwa upande wa akina mama alishinda huko canada 2008, wamesoma record yake ni nzuri tu!
Ila huyu Mc ni hovyo tu kwakweli, kama vile hayupo organized, Stage imepoa sana!
 
wameanza kutoa hizo tuzo/tunzo, wameanza na riadha merry naali amelamba kwa upande wa akina mama alishinda huko canada 2008, wamesoma record yake ni nzuri tu!
Ila huyu mc ni hovyo tu kwakweli

amezidisha misifa yake au?
 
MC Kibonde anaongea sana....anatukana wahudhuriaji kwamba wamelewa pale inapotokea kukosekana utulivu!
 
washindi nafikiri hawakupata reharsal kabisa...wakishachukua tuzo hawakai mapozi ya picha...wengi wanainamisha vichwa chini na kuondoka jukwaani haraka sana
 
washiriki including wageni rasmi (Mkapa na VP) wanapata msosi na taarifa ya habari inarushwa. wakirudi wanarudi kwenye category ya soka. Overall winner ataondoka na TOYOTA V100 Baloon
 
tuzo kwa washindi wa michezo ya netball, riadha, na basketball zimeshatolewa na hivi sasa wanapumzika kwa kujipatia mlo. Ila kilichonivutia ni kumwona mpiganaji Hamis athman yule mpigapicha wa habari leo iliyepata ulemavu baada ya kupata ajali ya gari akiwa ni mmoja wa waliokabidhi tuzo. Inapendeza kumwona akiwa katika siha nzuri, licha ya tatizo lake.
 
washiriki including wageni rasmi (Mkapa na VP) wanapata msosi na taarifa ya habari inarushwa. wakirudi wanarudi kwenye category ya soka. Overall winner ataondoka na TOYOTA V100 Baloon

Hapo ndio uchakachuaji utakapo anzia.
Music hasa ya THT naona kama imeboa kidogo, sura ya Mzee Mkapa na Dr Bilal hazikuwa na bashasha kabisa wakati madogo wanaimba, ukilinganisha na zile ngoma za kufungulia pale mwanzoni!
 
washiriki including wageni rasmi (Mkapa na VP) wanapata msosi na taarifa ya habari inarushwa. wakirudi wanarudi kwenye category ya soka. Overall winner ataondoka na TOYOTA V100 Baloon

ni vita ya kaseja na ngasa..ila naona kama kaseja ananafasi kubwa..
 
Shoo inaendelea sugu amepanda anatoa burudani anaimba mkapa na bilal wamesimama kumshangilia more updates soon stay in touch
 
Dowans jana walifanya kazi yao naomba kujua mchezaji wa mpira wa miguu ni nani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom