utoaji mimba

Mayu

JF-Expert Member
May 11, 2010
6,610
10,663
Wadau nisaidieni, kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu inabidi mimba ya kama miezi 2 itolewe.

je ninjia gani sahihi ya kufanya hii kitu?.
je hapa tz inaruhusiwa kisheria, na ni hospitali gani zinafanya kazi hiyo?

kama nitajua na gharama zake, madhara ntashukuru
 
Wadau nisaidieni, kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu inabidi mimba ya kama miezi 2 itolewe.
je ninjia gani sahihi ya kufanya hii kitu?.
je hapa tz inaruhusiwa kisheria, na ni hospitali gani zinafanya kazi hiyo?
kama nitajua na gharama zake,madhara ntashukuru

Abortion is crime....stop it....hivi mama zetu wangesema watutoe kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao ingekuwaje?....kwa nini haikuzuiliwa toka mwanzo....kulitokea ubakaji?....there is no njia sahihi ya kutoa coz hicho ni kiumbe tayari since the first day....na Tanzania hairuhusu hiki kitu...ni UUAJI
 
Dah!
Kama maisha ya mama au/na mtoto yako ktk hatar, abortion inaruhusiwa (sina ushahidi--common sense). Kwa akili ya kawaida daktar ndiye atakae-authorise mimba itolewe kama sababu ni hiyo nloeleza hapo juu.

Kama wewe huangukii ktk hiki kigezo utakua una agenda ya siri. Mchezo mfanye wenyewe raha mujisikie nyie, mwisho wa siku muue kiumbe ambacho hakina hatia. It iz CRIME
 
Wadau nisaidieni, kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu inabidi mimba ya kama miezi 2 itolewe.
je ninjia gani sahihi ya kufanya hii kitu?.
je hapa tz inaruhusiwa kisheria, na ni hospitali gani zinafanya kazi hiyo?
kama nitajua na gharama zake,madhara ntashukuru

Kutoa mimba ni kosa kisheria kwa mujibu wa sheria za nchi yetu. Hata hivyo sheria inaruhusu kama Daktari atakuwa ameafiki kuwa uwepo wa mimba hiyo utakuwa unahatarisha maisha ya mama na pengine mtoto mtarajiwa basi mimba hiyo inaweza kutolewa [abortion].
Kumbuka kuwa utoaji wa mimba si jambo la masihara,na linahitaji utaalam. Kama mimba hiyo ina uhalali wa kutolewa kwa sababu za kiafya basi Daktari mshauri katika hospitali husika atakupa maagizo. Ni jambo la hatari kwenda kukutana na wataalam wasioruhusiwa kufanya maamuzi ya aina hiyo, nikimaanisha Clinical officers [zamani medical assistant] au Nurse. Hawa kisheria ni allied health workers na kuna maamuzi ya mgonjwa ambayo hawaruhusiwi kuyafanya bali Registered medical professional [ Dr].
Kama utaamua kwasababu zako kutoa mimba hiyo kiholela uwezekano wa kupoteza maisha, au kuharibu kizazi kabisa ni mkubwa sana,na pengine hiyo ndiyo inaweza kuhitimisha uzazi wako.
Ahsante.
 
du hii ni mitihani... abortion is a crime, i real hate it maself...lakini kama issue ipo nje ya uwezo wenu you can do but have consultation first na gyn doctors... hawa wapo na ndo kazi zao..... go to the hospitals and not dispensaries utasaidika.. poleni sana..
 
:a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13:
 
Wadau nisaidieni, kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu inabidi mimba ya kama miezi 2 itolewe.
je ninjia gani sahihi ya kufanya hii kitu?.
je hapa tz inaruhusiwa kisheria, na ni hospitali gani zinafanya kazi hiyo?
kama nitajua na gharama zake,madhara ntashukuru

mmmh kutoa mimba ni hatari sana ila kama daktari amethibitisha kwamba kuna ulazima wa hiyo mimba kutolewa ni vyema ukapata ushauri kutoka kwake pamoja mengine yooote ambayo ungependa kujua na taratibu za kufuata
 
:a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13:

mbona haya maandishi yako yananitatiza kusoma
 
Chondechode usifikirie kabisa kuitoa, vumilia ujifungue salama kisha kama humtaki mtoto basi mpeleke kwenye vyombo husika watakutunzia, kama uko dar basi utampeleka Mburahati kwa wale masister wa missionaries of charity wa calcutha!
 
abortion is crime....stop it....hivi mama zetu wangesema watutoe kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao ingekuwaje?....kwa nini haikuzuiliwa toka mwanzo....kulitokea ubakaji?....there is no njia sahihi ya kutoa coz hicho ni kiumbe tayari since the first day....na tanzania hairuhusu hiki kitu...ni uuaji

ur right in wrong place, una takwimu ya mimba ngapi hutolewa kwa siku moja tuu hapa dar? Who is monitoring doctors activities in a single day? Wacha wewe, tell me una hakika gani wewe mwenyewe mimba ngapi madem wako wamezipiga chini kimy kimya? Madenti nao....... Think twice, wajua marie stopes in local areas wanafanyanini?

Damu za vichanga ni kubwa sana humwagika kila siku before sun goes down.

Lord forgive those who dont know if they even dont know if they dont!!!
 
Wadau nisaidieni, kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu inabidi mimba ya kama miezi 2 itolewe.
je ninjia gani sahihi ya kufanya hii kitu?.
je hapa tz inaruhusiwa kisheria, na ni hospitali gani zinafanya kazi hiyo?
kama nitajua na gharama zake,madhara ntashukuru

Ni zipi hizo sababu zilizo nje ya uwezo wenu??????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ziweke wazi ili tukupe ushauri utakaokufaa zaidi.
 
Mdau tatizo unaomba ushauri wakati umeshaamua kutoa hiyo mimba,sa sie wataka tukusupport ili kuhalarisha upumbavu unaotaka kuufanya!Tambua mlipokuwa mnakamuana hamkujua matokeo yatakuwaje!je hujui kutoa mimba ni dhambi?pia sheria haziruhusu?afu pia waweza muharibia huyo mwanamke kizazi akawa hawezi zaa tena!je wajua huyo mtoto atakuwa nani ndani ya nchi hii!Futa kauli zako na ukatubu maana hata wanaJF hawajapendezwa na uamuzi wako!
 
Abortion is crime....stop it....hivi mama zetu wangesema watutoe kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao ingekuwaje?....kwa nini haikuzuiliwa toka mwanzo....kulitokea ubakaji?....there is no njia sahihi ya kutoa coz hicho ni kiumbe tayari since the first day....na Tanzania hairuhusu hiki kitu...ni UUAJI

usitafute uhodari kwenye afya ya mtu, amekwambia kutokana na sababu zisizozuilika inabidi itolewe wewe unaanza kupiga kampeni. Can't u get serious?!.
 
usitafute uhodari kwenye afya ya mtu, amekwambia kutokana na sababu zisizozuilika inabidi itolewe wewe unaanza kupiga kampeni. Can't u get serious?!.

Lakini bado hajatuambia ni sababu zipi hizo zilizo nje ya uwezo wake. Akitueleza huenda tukamsaidia zaidi na hatimae hizo sababu zikawa ndani a uwezo wake. Tafadhari kaka/dada mayu embu ziweke hadharani hizo sababu unazodai ziko nje ya uwezo wako.
 
swali liko hivi
1.je ninjia gani sahihi ya kufanya hii kitu?.
2.je hapa tz inaruhusiwa kisheria?
3. ni hospitali gani zinafanya kazi hiyo?
4. gharama zake je?
5.madhara ntashukuru?
kasha makeup her mind so jibuni hayo maswali yake.
 
Uuaji huo.

Kama ni sababu za kiafya daktari angekwishakusaidia usingetaka ushauri hapa.

Wacha kuua.
 
usitafute uhodari kwenye afya ya mtu, amekwambia kutokana na sababu zisizozuilika inabidi itolewe wewe unaanza kupiga kampeni. Can't u get serious?!.

Kama ndio hivyo si aende hospitali kupata consultation kwa madaktari, usilete uhodari wa kutetea hoja kuona kinachofanyika ni sawa, mleta hoja angesema ni sababu zipi zisizozuilika get serious ABORTION IS A CRIME
 
Tafadhali usitoe mimba. Zaeni mtoto wenu kisha ni-PM nitamchukua na kumlea.......
Kama wewe ni mwanamke, mwanaume anayekushawishi utoe hiyo mimba hakupendi na agetaka aendelee kukutumia bila kuwa na majukumu yoyote. USITOE MIMBA plizzzzzz.
 
Back
Top Bottom