Utoaji Leseni kwa wauuguzi

Rosena

Member
Sep 11, 2012
51
4
Ofisi ya usajili wa wauguzi wizara ya afya imekuwa ikiwanyonya wauguzi pesa zao kwa kipindi kirefu sana. Msajili wa wauguzi hawa amakuwa akijinufaisha yeye na mapato. naomba kujua yafuatayo,
1. Nani mhasibu wa kitengo hiki, alisomea wapi uhasibu na ajira yake imepatikana vipi.
2. Kazi ya mapato na matumizi ya pesa hizi ni yapi.
3. Kwanini wauguzi walipie leseni hizo wakati wameajiriwa na serikali na wanafanyakazi kuwatumikia wananchi hawana kipato chochote wanachoingiza kupitia kazi hizo zaidi ya mshahara ambao ni haki yao.
4. Je fani zote wanalipia leseni kila wakati au ni kwa wauguzi tu.
5. Mbali ya mitihani anayofaulu muuguzi akiwa chuoni nasikia msajili na wewe unadai utaanzisha mtihani wako je ni kweli. Acha kuwanyanyasa wauguzi wewe.
 
Sasa hii post inatafuta nini tena kwenye hili jukwaa?
Au ni chuo cha Jamii Forums hicho...Lol!
 
Usilipe hizo hela za leseni! Huo ni ulaji wa wakubwa hapo barazani, shame on you Nurses Council of Tanzania!
Uuguzi unajifia nyie mnaendekeza njaa.

PAMBAAAAAF@ MUUGUZI MKUU WA TANGANYIKA,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom