Elections 2010 Utitiri wa 'Uvuvuzela'

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
Wadau nijuzeni... Hivi utitiri wa watu kutangaza nia za kugombea ubunge... ni hela za bwerere... Ni kuongeza wigo wa kuatamia fursa za mahela... Kujiongezea umaarufu hata kama watshindwa... Ama ni uchungu wa dhati wa maendeleo ya nchi hii..!!
Niajiuliza kwani baadhi yao hata moja la kujivunia ambalo wamelifanikisha kwa jitihada zao HAKUNA!!
Wengi wao wantoka mijini wankimbilia makwao..wakijpa vichwa na na kushabikiwa na wapmbe.
Naomba nielimisheni..
 
Ukiukwaa ubunge ndio umepata sehemu ambayo utapata hela bila ya kufanya kazi yeyote ile ,yaani kama ni mjanja basi miaka mitano inakutosha kabisa kisha unaingia kizani.:hippie:
 
Back
Top Bottom