Mkuu hebu tumia akili, ukianzisha tawi na kuliita CCM_Marekani does it make any sense here? Ufunge tawi uliite tawi la CCM-Africa will it make any sense? Where in Africa? Kuna States 50 hapa US. Labda mwanzilishi wa hilo tawi nae akili yake ni finyu kuliita tawi la CCM-Marekani, Mji gani? State gani? Physical address?
Hilo tawi lipo kweynye blog tu. Then angalia mwakilishi wa hilo tawi lenyewe? Nisijeongea mengi bureeee:sleepy:
Mkuu, mbona unatumia kamba za mgomba? isome mada halisi uliyoweka hapa na utafakarari ulichokusudia, yaelekea ulitumia kichwa badala ya Akili!