Utitiri huu vyuo vikuu vya kibubusa tanzania hadi lini?

Nancheto

Member
Mar 4, 2011
25
4
Baada ya wizara ya elimu kuridhia uanzishaji wa shule za binafsi na kuona utitiri wa shule zisizo na ubora sasa hali hiyo imehamia kwenye vyuo vikuu.sasa hivi kuna vyuo vikuu miundo mbinu yake hamna tofauti na vyoo,wahadhiri hawapo maktaba ndiyo usiseme!aghalabu vyuo hivyo
hutoza ada kubwa wakijua kwamba bodi ya mikopo itatoa pesa hizo kwani kama si bodi vyuo hivyo vingekuwa marehemu siku nyingi.watanzania
tunataka vyuo bora vyenye kutoa elimu bora
 
Mkuu hapo una point. Lakini naona wakulaumiwa sio waanzishaji hivyo vyuo vya mtaani bali ni hiyo accreditation board ambayo ndio yenye final say
 
Back
Top Bottom