Uthibitisho wa mikakati michafu ya CCM

C.K

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
394
162
Nilisoma humu JF barua iliyokuwa na maelekezo machafu ya kuhujumu uchaguzi kwa wasimamizi wa vituo vya kupigia kura. Nimeitafuta tena ili nipate kiambatanisho katika waraka wa kudai utaratibu mwingine wa usimamizi wa uchaguzi siioni.

Naomba mwenye access na barua hiyo aniattachie ili niendelee na zoezi. Asante!

... delays in justice usts injustice! :sad:
 
Kifafa Cha Threads Mbalimbali Kufa Chini ya Umri wa Siku tatu ... Mmh

Sio barua hiyo tu naona hata humu ndani ya JF nako kuna KIFAFA cha ghafla sana tu kwa threads mbalimbali. Labda ka sio Indevisebo kusemea hili basi huenda Daktari Mzizi Mkavu akasema japo neno ....
 
Back
Top Bottom