Uthibitisho wa Mhe. Lema kuhusu Pinda kuongea uongo Bungeni

Spika anatakiwa aache kukurupuka. Hiyo shauku na wasiwasi anayoihofu ni yeye aliyeianzisha akitaka kumlinda Pinda. Kwa staili hii ya kulindana lindana ajue atakuwa anachemsha tu kila siku.

Pole yake Mhe Mwenye Makinda kwani kwa hili umeshachemsha, kama ulikuwa anamlinda PM basi ndo umembwaga kwenye jaa au kwenye genge la mkaa na amevaa suti nyeupe kazi kwako kumsafisha. Lema kesha mwaga mabo yote hadharani huitaji kuwa mwanasheria kuona bila mashaka kuwa Pinda amesema uongo
 
Naona wengi mnakurupuka na kuuona kuwa huo ni "ushahidi" kuwa PM kasema "uongo", la, hasha. Ukiupitia ki umakini huo "ushahidi" utaona kuwa Lema au waliemwandikia huo "ushahidi" wamejikanganya vibaya sana na huo "ushahidi" una contradictions kibao na "self incriminatory".

Kama ni mwana sheria ndie aliuandika, basi huyo ni "bomu".

Ametoa maelezo mareeeefu ambayo yanazunguka halafu yanamkaanga mwenyewe. Sijaona hata pamoja panapo-onyesha kuwa PM kasema uongo.

Nna uhakika Makinda na jopo la wanasheria wanaomsaidia bungeni watausambaratisha huu "ushahidi" na uonekane kuwa ni upupu.

Mimi si mwanasheria, lakini, nimeona "ushahidi" una mapungufu mengi sana.
Nadhani unaugua ugonjwa wa kushindwa kuelewa au ni mbishi kama mshipa. Muone mganga akutibu haraka
 
Wadauu tujadili kwa hoja!!
 
Attachments

  • Uthibitisho%20wa%20Mheshimiwa%20G%20Lema[1].doc
    79.5 KB · Views: 86
Kwa ambaye hajafanikiwa kusoma huu uthibitisho
 
Attachments

  • Uthibitisho wa Mhe.pdf
    109.3 KB · Views: 108
Hii tayari ipo bana toka majuzi...na ishajadiliwa sana hapa..jaribu kusearch, ililetwa na Preta na Genekai...
 
Asante genekai, nimeusoma na nimeridhika kuwa waziri mkuu alisema uongo, je unategemea nini kwa walio chini yake kama waziri mkuu, anashindwa kuandaa hotuba muhimu kama hiyo na kuishia kusema uwongo. Hiyo ndo serikali ya ccm inayotutawala.

Tuwe na Subra kusikilizia majibu kutoka kwa Spika.
 
sorry, nimefuta kwa kuwa ni unnecessary duplicate. mods naomba mnisaidie kuifuta kabisa hii thread. thanks
 
hII INAPOSTIWA SASA KWA MARA YA nne hapa makujwaani!
Ilianzishwa na Genekai, akaileta Preta, leo mchana imeletwa tena na somebody, na sasa tena huyu hapa Miss Judith!...
 
hII INAPOSTIWA SASA KWA MARA YA nne hapa makujwaani!
Ilianzishwa na Genekai, akaileta Preta, leo mchana imeletwa tena na somebody, na sasa tena huyu hapa Miss Judith!...

sory, sikujua yote hayo, I delete. thanks
 
Nilikuwa na pita pita kwenye tovuti ya chadema nikaikuta hii............
 
Attachments

  • UTHIBITISHO WA MHE.LEMA KUHUSU PINDA.pdf
    186.6 KB · Views: 128
Asante mkuu. Next time angalia kwanza hapa JF maana hii kitu ipo siku kadhaa sasa hapa ndani.
 
wadau naulizia juu ya ule ushahidi wa Mh. Lema aliowasilisha kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda umefikia wap? Nin kinaendelea? Wanaofahamu mtujuze coz ktk ratiba ya bunge hili sijabahatika kuliona. Watanzania tuna kila sababu ya kujua ni nin kinaendelea, km uongo ufahamike! Na kwa wale mnaoijua vyema hansard na kanuni za Bunge, ITAKUWAJE KM IKIBAINIKA KUWA KWELI PINDA ALIDANGANYA? Nin KITAFANYIKA?
 
Mimi naona ingekuwa ni utaratibu bunge kutoa taarifa kwa wananchi juu ya ratiba ya vikao vya bunge, nini kitajadiliwa lini ilituweze kulifautilia.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom