Uteuzi wenye utata

Baba C

Senior Member
Mar 15, 2012
125
55
Nimesikia toka taarifa ya habari toka star tv eti serikali imetangaza kuwachukulia hatua kali za kisheria MKUCHIKA na Lazaro Nyarandu kwa kuhusika na ubadhirifu hata kama wameteuliwa tena kuwa mawaziri.
JE JK hakujua udhaifu wa watu hawa kabla hajwateua tena kuwa mawari? Je hii si kulidharau bunge?Wazuri wote wameisha CCM hadi kuteua wabadhirifu tena?
 
CCM is desperate! Desperate to the point of benig even unable to tell their right from left!
 
JK ni janga la kitaifa, anasubili kwa hamu muda wake umalizike ili aitwe "rais mstaafu"... Lakini yuko hoi bin taaban sasa...
 
Nimesikia toka taarifa ya habari toka star tv eti serikali imetangaza kuwachukulia hatua kali za kisheria MKUCHIKA na Lazaro Nyarandu kwa kuhusika na ubadhirifu hata kama wameteuliwa tena kuwa mawaziri.
JE JK hakujua udhaifu wa watu hawa kabla hajwateua tena kuwa mawari? Je hii si kulidharau bunge?Wazuri wote wameisha CCM hadi kuteua wabadhirifu tena?

Kwani serikali inayowachukulia hatua ni ipi? huyo aliyewateu si ndio mkuu wa serikali? Wao

wenyewe si ndio wanaunda serikali?
 
Hakika hizi ni dalili tosha za kifo na mazishi ya chama cha magamba.
 
Nimesikia toka taarifa ya
habari toka star tv eti serikali imetangaza kuwachukulia hatua kali za
kisheria MKUCHIKA na Lazaro Nyarandu kwa kuhusika na ubadhirifu hata
kama wameteuliwa tena kuwa mawaziri.
JE JK hakujua udhaifu wa watu hawa kabla hajwateua tena kuwa mawari? Je
hii si kulidharau bunge?Wazuri wote wameisha CCM hadi kuteua wabadhirifu
tena?

ni sawa na anayechota maji kwenye kisima kichafu. wakati mwingine yale uliyoyachota jana yana afadhali kuliko utakayochota leo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom