Hazuzuwii => Hazizuwii
Mbona huyo fox ndie bingwa wa kusahihisha wengine kiswahili na kuhoji wengine kuwa elimu zao walisomea ujinga? Yy vipi maana nimeshamuona mara kibao akikosea au mkuki kwa nguruwe?.........
Hazuzuwii => Hazizuwii
Mtashusha thamani ya dola wakati mnajuwa kununuwa tu kutoka nje? Anzeni na kuuza bidhaa zenu nje badala ya kuuza maneno JF.
Nashukuru kwa mawazo yako lakini mimi kama mtanzania nina aki ya kuhuliza na kutoa mchango wa mawazo yangu kwa karne hii, siyo kama zamani mlikua mnatubania ww na serekali yako. mm sijaongelea swala la dini na pia si mdini I just asking logic question
kuwepo kwake apa JF ni vizuri sana na tunashukuru sana kwa mchango wake. but inaoneka ww ni mamluki wa chama fulani umekuja apa kuaribu mada ambayo inachangiwa kwa kuweka maswala ya udi. mm si mdini na kamwe sitakua mdini wala ujui dini yangu
Leo nimesoma habari ya Uteuzi wa Naibu Gavana Dk. Natu, najua alikua kwy bodi ya BOT kwa kipindi kirefu na ni mwadhiri katika Chuo chetu kikuu, but akiwa kama mjumbe wa bodi ya BOT kwa kipindi chote alimshauri nini Gavana katika kuboresha uchumi wetu na je akiwa kama Naibu gavana wa BOT anaweza kutusaidia kupunguza mlipuko wa bei za chakula na vitu vingine? na kuhusu kuboresha dhamani ya shilingi iliyo shuka dhamani unadhani anaweza kuwa msaada kwetu sisi walala hoi au amewekwa apo kwa manufaa ya baadhi ya watu na wanasiasa.
Naomba mawazo.
Dada kwa Maneno hayo unaungana na Jamaa Wanaosema CCM mmeshindwa kusaidia wananchi kuinua hali zao zakiuchumi......
..a well known economist
FaizaFoxy katika ubora wake.Mtashusha thamani ya dola wakati mnajuwa kununuwa tu kutoka nje? Anzeni na kuuza bidhaa zenu nje badala ya kuuza maneno JF.
Unafikiri hayo ndo maendeleo yatayonifanya nichague ccm ukilinganisha na mataifa mengine tuliyokuwa pamoja kiuchumi mfano malysia acha ujinga uliyopost hapo juu rudi darasani BRN Haijakaa kisawasawa kichwani. Aliyesababisha yote haya ni nani? Kama sio mfumo wa ccm. Kuna watu wazuri wachache ndani ya ccm lakini wanafunikwa na wabaya wengi wenye ushauri na mashinikizo machafu na kusababisha watu kuwajibika kwa sababu ya wenye tamaa wachache tumeshajua mchezo mchafu subiri tufanye maamuzi. Wengine wanapesa chafu zimefichwa kwa kuwekeza kwa kutumia majina ya watu wengine halafu wanajiita wasafi wanafaa kuwa maraisi
Mbona huyo fox ndie bingwa wa kusahihisha wengine kiswahili na kuhoji wengine kuwa elimu zao walisomea ujinga? Yy vipi maana nimeshamuona mara kibao akikosea au mkuki kwa nguruwe?.........
Tanzania ilifata uchumi wa ujamaa ulioshindwa na hiyo imebadilishwa rasmi na kuwa nchi inayofata uchumi wa mitaji (capitalism). Hayo mabadiliko makubwa kayaleta Kikwete na Magufuli ataedeleza kutokana na ilani ya CCM.
Kumbuka hilo, mabadiliko yalishaanza baadaya kuvunja misingi mibovu ya kiuchumi, sasa tuna misingi mizuri kabisa na Magufuli ndiyo tutampa jukumu, hatutaki wezi na mafisadi na watu wenye uchu wa madaraka na pesa kama Lowassa na aliowanunuwa tuliowatema tuwawachie utajiri tulionao hivi sasa, watatumaliza kwa tamaa zao.
Hatumpi kura Lowassa na hatuwapi kura chadomo.
Kura zote tutazielekeza kwa Magufuli na CCM.
Hilo Nyanya yangu nalikataa rejea rasimu na malengo ya kuuza hivyo viwanda ,serikali iliuza baada ya kushindwa kuviendeleza, wale waliouziwa walitakiwa waviendeleze kwa concept ilie ile ndio maana Magufuli alitangaza kiama kwa wale wasioviendeleza.Vilikufa kabla yake na vyote vililenga soko la ndani na si la nje.
Hilo Nyanya yangu nalikataa rejea rasimu na malengo ya kuuza hivyo viwanda ,serikali iliuza baada ya kushindwa kuviendeleza, wale waliouziwa walitakiwa waviendeleze kwa concept ilie ile ndio maana Magufuli alitangaza kiama kwa wale wasioviendeleza.
……I agree to Disagree!Wewe kataa upendavyo lakini huo ndiyo ukweli. Vilikufa Nyerere yupo hai na ndivyo moja ya sababu ya kututia umasikini wa mwisho duniani.
Unafunga kiwanda cha kuunganisha matrekta unafunguwa kiwanda cha jembe la mkono! Uliona wapi hayo duniani?
Sasa hivi ndiyo tunaona viwanda vya kuunga matrekta vikianzishwa, wakati huu wa mabadiliko wa Kikwete.
Miaka mitano sasa, hujamaliza sentensi hii...I know Dr Mwamba very well. She is
Mimi siangalii dini. Natu Mwamba alikuwa mwenyekiti wa bodi ya IFM na mnaona alichofanya. Amefanya mambo mengi mazuri....ingawa bado kuna hapa na pale....ambapo hata angepewa nani pia asingekuwa perfect! Kuwa mjumbe wa bodi sio maana yake wewe ndo mtekelezaji wa shughuli za BOT za kila siku. Unawaweza kutoa maoni yako na watu wasifuate. Unaweza kuwa mzuri sana lakini watu wenye mamlaka kuliko wewe wasifanyie chochote kuhusu mapendekezo yako. Zaidi ya yote mliona habari ya Dr. Daudi aliyesifika huko kote alikofanya kazi nje ya TZ lakini angalia kilichotokea alivyorudi TZ na kuwa Gov. wa BOT ....sasa hiyo utasema nini.....Tunataka watu wenye roho ya paka kama akina Magufuli, Mwakyembe etc ambao hawaogopi makunyanzi wala ndita.
Vinginevyo Natu asipoangalia!!!!!!! they will fix her...may be she is so clean and they fear she may one day bark at them so ....
Akina mama ndo empowerment hiyo....!!!!!!!! Gender and Merit equality!!!!!!!
huyu ni binti wa el maamry aliyewahi kua mwenyekiti wa chama cha mpira wa miguu nchini miaka iliyopita. kama ni mzalendo mjuzi wa kazi au fisadi hakika sina ninalojua.Leo nimesoma habari ya Uteuzi wa Naibu Gavana Dk. Natu, najua alikua kwy bodi ya BOT kwa kipindi kirefu na ni mwadhiri katika Chuo chetu kikuu, but akiwa kama mjumbe wa bodi ya BOT kwa kipindi chote alimshauri nini Gavana katika kuboresha uchumi wetu na je akiwa kama Naibu gavana wa BOT anaweza kutusaidia kupunguza mlipuko wa bei za chakula na vitu vingine? na kuhusu kuboresha dhamani ya shilingi iliyo shuka dhamani unadhani anaweza kuwa msaada kwetu sisi walala hoi au amewekwa apo kwa manufaa ya baadhi ya watu na wanasiasa.
Naomba mawazo.