Uteuzi wa makatibu wakuu wa Wizara na uhamisho

Magu

Senior Member
Jun 13, 2011
156
56
Mwenye taarifa za uteuzi na uhamisho wa makatibu wakuu naomba atujuze. Kuna taarifa kuwa Mhe. Rais kafanya uteuzi na kuwahamisha makatibu wakuu wa wizara mbalimbali. Mwenye taarifa za uhakika atusaidie kutujuza plz.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom