Uteuzi wa Mabalozi wetu na Mh. Rais kwa kweli mimi nina mashaka sana, hadidu za rejea sijui huwa nani anatengeneza ....Mh. Marmo amekuwa Mbunge na Waziri kwa nyakati tofauti takribani miaka 30....amekuwa mzee mwenye umri wa kutosha kabisa kupumzika lakini cha kushangaza na kusikitisha ni kwamba bado J.K anamhitaji pamoja na kwamba wananchi wa Mbulu walimkataa ....kwa kweli itabidi uteuzi wa mabalozi uwe ni kudhibitishwa na Bunge lasivyo huenda vyeo hivi vikawa ni kwaajili ya ushikaji tu.... A country which is preparing for a bright future needs to invest into electing as many young people as possible wakajifuze kutoka kwenye nchi za nje ili possibility wajekuongoza hii nchi....sasa kwa mtindo huu....hatuna future hata kidogo......vijana mtaendelea kuitwa taifa la kesho kutwa .....