Uteuzi wa Kadhi Mkuu waibua mvutano

Status
Not open for further replies.
Ha ha ha haaa hawa watu bana.. Watakwambia Pengo na Malasusa nao wamehusika kwenye huo uteuzi
 
MUFTI hajatumia akili,suala la kadhi linatakiwa litambuliwe na katiba ya jamhuri

Na jamhuri ya Kiislam? - nafurahi TZ bado haijawa jamhuri ya Kiislam, na naamini Uingereza itakua Jamhuri ya Kiislam kabla ya TZ.

Mahakama ya Kadhi sawa tu na Mahakama za Upatanishi ama za Madai zinazofanywa nje ya Mahakama ya Sheria za Nchi. Hizi mahakama zinaweza kuendeshwa na dhehebu, Vijiji, Kabila ama Koo bila kuihusisha Jamhuri. Na kwa kua UPATANISHI UMEPATIKANA, huo upatanishi unakubalika na Jamhuri kwa kua hiyo mahakama ni shahidi - UPATANISHI USIPOPATIKANA bado mtaishia Kisutu.

Waislam wa TZ tuache UTAPELI - jitegemeeni kuendesha mahakama yenu ili kukuza upendo kati yenu lkn bila kuhusisha DINI zingine. Tutaheshimu hukumu za mahakama zenu bila kuwaingilia.
 
Sasa hii ni chokochoko. Kadhi si mmepewa? Kaeni wenyewe kwa wenyewe mmalize suala la kadhi. Pia sioni uhusiano wa kadhi na kususia sensa.
Mkuu kwani lazima waislam wahesabiwe? kwani mkijihesabu nyinyi wakiristo itakuwa kosa?
 
Mkuu kwani lazima waislam wahesabiwe? kwani mkijihesabu nyinyi wakiristo itakuwa kosa?

SENSA sio UTAFITI ambao lazima upate CONSENT YA PARTICIPANTS. Sensa ipo kwa mujibu wa sheria za nchi, kitendo chochote cha kugomea sensa au kukataa kuhesabiwa bila sababu ya msingi ni kosa la jinai.
 
Waislamu wana mambo ya ajabu sana. Wenyewe kwa wenyewe hawaelewani, Makam wa Rais ni muislam, mkuu wa Kaya muislam, sasa iweje mseme uteuzi wa kadhi umekaa kiserikali wakati wakuu wengi wa juu are in favour of muslims!! Waislamu amkeni muda mnaopoteza kwenye majungu,mabishano, na upuuzi wa kung'ang'ania madaraka kisa mle pilau na kuonekana bora kuliko wengine,wenzenu wakristo wanawapiga gap kubwa sana. Time will tell, kuna kiwango cha kubebwa. Si kila kiongozi atakayekuja ataendelea kuwabeba!! It's awake up call. Iweje kila siku mnaonewa nyie? Mna nini cha ajabu kuliko dini nyingine????
 
Hatukubali, tunaonewa sana. Uteuzi wa makadhi hao umetokana na mfumo kristo !
 
SHARIAH!!!!! GET SOME...

Sharia law is the law of Islam. Sharia (also spelled'Shariah') is based on the Quran, the actions and the other words of Muhammad,and the collective reasoning and deductions of Muslim imams.

Like other legal systems, Islam's Sharia law covers a wide range of topics. Thespecifics of the Sharia law, however, are unlike any other legal system in theworld.

According to Sharia law:

• Theft is punishable by amputation of the right hand (above).
• Criticizing or denying any part of the
Quran is punishable by death.
• Criticizing or denying Muhammad is a prophet is punishable by death.
• Criticizing or denying
Allah, the moon god of Islam is punishable bydeath.
• A Muslim who becomes a non-Muslim is punishable by death.
• A non-Muslim who leads a Muslim away from Islam is punishable by death
.......
Proceed with your sarcasm.Islam is not that very much shallow.
Try to talk to someone who studied shariah and pose the questions you have.You will get the logic behind every item.
There is moon god in Islam ,do not blasphemy
 
kama hii itaendelea hivi huu utakua ndio mwisho wa usalama kati ya waislam na wakristo wakristo na serikali na waislam na serikari!hii ni kwasababu waislam si wamoja na hawana kiongozi mmoja ila inapokuja suala fujo hujifanya ni wamoja!kuna kipengele kinaruhusu waislam kudanganya wakristo ili kuendeleza uislam hivo kitendo cha kusema eti kadhi atadili na ishu zile simpo ni kudanganya watu ili waingize mauaji makubwa ya kishetani hapa nchini maana kwa mujibu wa sheria za kiislam watu hawapo sawa mbele ya sheria, wanaume ni bora kuliko wanawake adhabu zote zinaishia na kuua so hii nailaani na nitakubali kfanya chochote kuweka kumbukumbu mbaya juu ya serikali kukubali upuuzi huu
mimi hujiuliza pagumu sana kwamba kama walitaka kadhi nao wamempata sasa kelele za nini? Hata hivyo naamini na kumshukuru mungu kwamba wanachokililia waislamu hakitafanikiwa kwani hakina baraka za mwenyezi mungu bali ni prejudice za wachache tu wakitaka kuliweka taifa katika uislam kitu ambacho kwa nchi kama tanzania ni vigumu sana kutawalika kiislam kwa ajili ya set up yake ya customs and culture. Waende zao iran nk. Hapa tz mixture ya makabila, madhehebu nk ni kubwa sana na nashindwa sana kuona kadhi ata deal vipi na kesi za ndoa inayomuhusu mwislam na mkristo ( mume mwislamu mke mkristo) sasa mkristo maskini sijui atalazimishwa ku slimu ama vipi. Jirani yangu mmoja anasema patachimbika yeye hayuko radhi kubadili dini. Mimi mwenyewe mke wangu mwislamu nami ni mkatoliki sasa hapa sharia itasema nami nibadili au niachane nae kwani mimi kwake naonekana kafiri? Hapa fikirini upya enyi wenye vichwa. Nawaona kama waliotaka kujenga mnara wa babeli vile.
 
Proceed with your sarcasm.Islam is not that very much shallow.
Try to talk to someone who studied shariah and pose the questions you have.You will get the logic behind every item.
There is moon god in Islam ,do not blasphemy

There are links on my reply so u can see 4 yourself the worse in a shelf.
 
Waislamu wana mambo ya ajabu sana. Wenyewe kwa wenyewe hawaelewani, Makam wa Rais ni muislam, mkuu wa Kaya muislam, sasa iweje mseme uteuzi wa kadhi umekaa kiserikali wakati wakuu wengi wa juu are in favour of muslims!! Waislamu amkeni muda mnaopoteza kwenye majungu,mabishano, na upuuzi wa kung'ang'ania madaraka kisa mle pilau na kuonekana bora kuliko wengine,wenzenu wakristo wanawapiga gap kubwa sana. Time will tell, kuna kiwango cha kubebwa. Si kila kiongozi atakayekuja ataendelea kuwabeba!! It's awake up call. Iweje kila siku mnaonewa nyie? Mna nini cha ajabu kuliko dini nyingine????

sio waislam tu mkuu. hata wakiristo wakiwa nje ya SYSTEM utawasikia. kwa sababu Nyerere aliwaandalia KEKI YA TAIFA ndio maan wapo Kimya
 
Sasa Ina Maana kama una kesi Wewe Mkristo na yeye Mwislamu mtakwenda Mahakama Tofauti?

Makosa ya jinai hayatakuwa sehemu ya mahakama ya kadhi. kwa hiyo Kukutana kwa mkristo na mwislamu itakuwa sio rahisi kwenye mahakama ya kadhi.

kama ni suala la ndoa mchanganyiko (uislamu + Ukristo) itaangaliwa ilifungwa wapi , msikitini, kanisani, bomani ili kuamua ni mahakama ipi itashughulikia.

Lakini pia katika mambo yote kumbuka kuwa mkristo au mwislamu sio jina tu bali hata matendo ya imani yako kama vile kuhudhuria swala na ibada..... kama unaishi kipagani/ kikafri bado utachukuliwa kama sio mtu wa imani.
 
kumbuka mahakama za kikristo zilizo nje ya mahakama za kiserikali zinatumia canon Law makanisani zinahusu zaidi ndoa na familia haziingiliani na mahakama ya serikali.

kwa mfano, ndoa ya kikiristo inavunjwa kwenye mahakama ya kiserikali tu lakini hakuna kanisa linaloweza kuvunja ndoa ya kikiristo na ndio maana wanandoa wa dini ya kikiristo wanaotaka kuachana wanakimbilia mahakana za kiserikali. ndoa ikiyumba mkiristo anakimbilia kwa padri, mchungaji au askofu kwa ajili ya upatanishi sio kuachanisha hapo wazee wa kanisa wanaweza kukaa kujaribu kupata suluhu na inaposhindika kanisa humwachia Mungu.
 
bakwata hii inaypoendwa na maaaaskofu?kuna nini hadi wakiristo muiepende bakwata huku mkijua haijafanya kitu kwa waislam?

mlitaka BAKWATA iwafanyie nini waislamu ambacho sasa ivi hawakifanyi????
 
mlitaka BAKWATA iwafanyie nini waislamu ambacho sasa ivi hawakifanyi????

ukiona mkiristo analipenda baraza la waislam ujue kuna Kitu. NDIO MAANA MAASKOFU +MAPADRI WANALIKUMBATIA. ZILE TAASISI ZINAZOONEKANA KUENDELEZA VYUO VIKUU. MAASKOFU HIZO WANAZIPIGA VITA
 
Kwani unadhani utashirikishwa wewe mkristo ktk mchakato huu kadhi ??? Naona inawauma sana.

Agenda ya mahakama ya kadhi ni ya waislamu pekee lakini kuikazia na kuleta umoja ni vema ikafanywa ni agenda ya wote bila kujali imani hasa litakapokuja suala la kuhudumia mahakama hiyo ambapo kodi itakayotumika itakuwa ni ya watanznia wote.

Kama wote tutalitazama suala hili kitaifa tutafika salama.
 
Mwanaharaki Ponda.
Kwa nini kila wakati unakuwa against Bakwata?
Tulikuwa tunalilia kupata Mufti na tayari tumempata,huoni kama hii ni hatua moja mbele?
Mara nyingi nimekuwa sikuelewi kwani unaelekea kuwa mtu wa shari kuliko kusaidia jami ambayo ipo chini.
Wenzetu wanaitumia nafasi vizuri na wamejaza vyuo vikuu sisi hata sekondari za kuhesabu na tukitoka hapo ni kulia kuonewa kama yatima.
Tutumie fursa na tuwe waadilifu tutapata maendeleo.
Kama una hoja nenda kaongee na Sheikh Mkuu lakini kwangu nashindwa kukuelewa.
Hebu Ponda mtizame Kijana Arfu wa Islamic foundation mambo anayosimamia,huu ni mfano wa kuigwa sio kila wakati kupinga wenzio.

Kama ponda anawatakia heri waislamu kwanza akae na Mufti na taasisi zingine za kiislamu na kupeleka malalamiko yao itakaposhindikana ndipo anaweza kuchukua hatua zingine.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom